Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Vipi popcorn za unafiki hazija kuvimbishaπŸ€”πŸ€”. Palina au palilia
πŸ‘‰ I mean no malice to nobody
Mkuu we unakoelekea sio kuzuri

Kwani ni lazima kila mtu akubaliane na wewe?? Mi sina chuki na wewe wala baba watoto

Usitafute ubaya mkuu for nothing, hamna mtu aliesema wewe mwizi wala muongo, ni kwamba sio mimi tu ila baadhi ya watu walikua wanataka info kwa baba mwenyewe asa kosa liko wapi

Haya kazana
 
I don't give a f.u.ck about what you think
Coz I did that for my family, so unaeza kuwa unatafuta spot ya kuropoka nonsense zako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…