National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Asante sana mkuuHongera sana mkuu National Anthem
Nikki bana ๐Hongera zake, amejifungua kwa operation au kawaida? Je ameolewa au ndio sogea tukae? Aheshimu mwanaume, hatutaki baadae aje kuwa single mother
I pray for you, na nitapost๐๐. I mean no malice to nobodyCongratulations ๐๐๐๐ kwake #ASAP
Mm pia soon ๐๐ mwakani ntakupa mrejesho inshallah.....na Mimi uni post...
๐๐๐๐๐๐ค๐ค
Sass weupe unaliwa?Haujamaliza swali, ungeniuliza "hivi kwanini unaringa na mtu mwenyewe hata sio mweupe" ๐
Asante sana mkuu.. maisha ndio haya haya mzee.. tuujuze ulimwenguKweli timu ya usiku wa manane imeamua ni mwendo wa kuijaza dunia alianza trudie Mr kenice sasa National Anthem
Hongera sana National Anthem ๐๐๐
Amen. Mkuu nitawale kijeda jedaa hakuna kuleana kimayai mayaiMkuu National Anthem Mungu akusimamie uwalee katika misingi yake...dunia imeharbika mno..
Naitwa baba kwa mala ya kwanza toka nimeletwa dunianiNina mashaka na hii taarifa, naona jamaa anaanzisha nyuzi za watu kupata watoto hadi inatia shaka, nitaamini ikiwa
National Anthem atakiri hili hapa.
Alianza na trudie
Asante sana mkuu. Shukrani kwa kujali. Nilee sasaKwako ndugu na Kaka yangu National Anthem, Tumekuwa marafiki wa muda mrefu katika dunia hii ya Kufikirika.
Furaha yako imekuwa furaha yangu pia, nichukue fursa hii kukupongeza wewe na mkeo kwa kufanikiwa kupata watoto mapacha siku ya jana๐๐.
Kheri ikawe kwenu na kwa familia yenu, nawa ahidi sitokuja kula sana endapo Nita alikwa ๐
๐.
๐note: nadhani hi ni wiki ya baraka kwa team jf usiku wa manane, kwani ndugu zetu watatu trudie, Mr kenice na national anthem wamepata watoto.
๐ I mean no malice to nobody, Sera zetu ๐ Panga mkononi
๐Roho begani
View attachment 2605160
๐Picha haihusiani na taarifa.
๐คญNami niwe shamba boy๐Mpe Hongera.
Mwambie Mamndenyi anatafuta kazi ya uyaya
Jf ni ulimwengu mwingine, mfano wewe roho yako ikienda sayari nyingine yenye viumbe kama aliens halafu roho yako ikafanyika au kutokea katika namna ya mwili kama wao basi huo mwili utaitwa avatar, thats your avatar.Kwa unataka kusema nn mpendwa wetu
Hatari na nusu na vya kurithi huwa vinazidi Ankol. Hongera sana๐๐๐ uzuri vidume vinatabia kama za baba yaoโฆ
Cc. GilyI pray for you, na nitapost๐๐. I mean no malice to nobody
That's true, mwez huu umekua mzur Kwa mapopo kupata watoto๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟI mean no malice to nobody, wote ni marafiki zangu
And these is a confirmation, unaeza wauliza National Anthem, trudie, Mr kenice
๐ Nani kakuomba mchango, au ni Kiki za kihaya๐ค๐ค
Mwez huu umekua Na histry ya aina yake,
Usimuamini sana mwanasiasa ๐Mbna huyu mwamba aikuwa kundi na katibu mkuu wa kataa ndoA au alikuja kupata ushauri nazaa
Anyway hongereni mam na Bab