Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Japo Mwana JF mwenzetu, Paul Makonda ni member wetu humu, baada ya kukamata ulaji aliacha kabisa kuchangia JF, lakini niliamini kuwa bado anapita jf, na kutusoma.

Laiti angesoma bandiko hili, and try make sense of it, position ya uenezi ilikuwa inamnyanyua mpaka kule kileleni cha ule mpango wa baada ya Magufuli, sasa ingekuwa ni baada ya Samia. He has lost this chance.

Hata hivyo Arachuga ni fursa mpya ya kidplosia itakayo mrejeshea visa yake ya Marekani, ila pia ni kamba ya kitanzi cha kujinyonga na kupotea kwenye ramani ya siasa za Tanzania.

Arusha Makonda awe makini sana, ile sio kama jiji la Dar, ambalo limejaa makondoo, unaweza kuwa swaga vyovyote, Arusha ni jiji la machalii, akileta za kuleta, wale machalii wanatembea naye na kumtoa kwenye reli na kugeuka historia!.

P
 



Yani wewe hata kupiga Kiwi viatu vya viongozi wa ccm huwezi teuliwa. Chawa wahedi
 
Kuna Uzi niliwahi kusoma ukisema,mara nyingimaneno yako Yana unabii...namuunga mkono mwenye huo Uzi japo simkumbuki
 
Sikio la kufa, halisikii dawa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…