Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
It's not wise to catch a falling knife, let it settle first then u'll pick it up.Jakaya ni Mwanasiasa bobezi
hata wakati wake hakuwa anaongelea mambo yakiwa ya moto …anasubiri yamepoa then a achagua upande kwa busara sio kwa mihemko
wakati Waandishi wanamsubiri aongelee ya Escrow wakashangaa a anaongelea ya Tezi dume
sasa hivi yupo na Awesu ana ratibu Mkutano wa masuala ya maji Duniani
wakati wa Richmond akawa anaongelea ya Sinema ya Mapanki
Yule Mzee amekwepa mishale mingi sana kwa style hii
la Mkataba atakuja tu kuliongelea baadae sana kama vile alivyoongelea la Babu wa Loliondo wakati wa Katiba mpya