Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hujazaliwa Tanzania, umezaliwa duniani....! Na huwezi kutawala maana unalalamika badala kutafuta suluhisho, wanaotawala huwezi kuwasikia wakilalamikaTanzania ni yetu sote.Nimezaliwa hapa na nitatawala hapa hapa.
Kichwa chako hakieleweki,maana yake kuweka ufanisi Katika Magate,Logistique ili kila kitu kitoke na kipangwe kirahisi. The same na katika kusafirisha.Nawewe uliyesoma umeandika nini rudia kusoma ulichokiandika..ku-design bandari ndo nini
Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp worldJamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Kumbe hiyo ndo maana ya ku-design bandari sawa. Ila kinacho matter ni ku,-aquire new technology ili tuweze ku copy na Mabadiliko ya kiteknolojia yakidunia.Kichwa chako hakieleweki,maana yake kuweka ufanisi Katika Magate,Logistique ili kila kitu kitoke na kipangwe kirahisi. The same na katika kusafirisha.
Wewe si Bandari nzima.DP wapo gate way moja tu.Na wapo Joint Venture na Campuni zingine. Sisi hapa Tanzania tunawapa Bandari zote baharini,ziwani na nchi kavu.Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp world
![]()
Home | DP World Antwerp
We are the leading provider of smart logistics solutions, enabling the flow of trade across the globe.www.dpworld.com
Rotterdam bandari yake yenyewe Dp hawapo ila wanafanya Logistic kwenda maeneo mbalimbali wao wanasimamia Stuttgart
Ngumu kukuta ulaya Bandari ambayo Dp world hawamo.
Pia ukisoma Report ya Bank ya Dunia Bandari zote hizo ulizotaja hazifiki Bandari za Middle East
![]()
Middle East Container Ports Are the Most Efficient in the World
The new edition of the Container Port Performance Index shows that ports in the Middle East and East Asia responded best to the global supply chain crisis.www.worldbank.org
Ubaguzi huo hebu kemea Hilo pepo au unatembea alimotembea Mwenyekiti mboweSitaki nchi yangu iuzwe kwa Sheikh ,sitaki.
Angalia hapa.Wazungu si wapumbavu.Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp world
![]()
Home | DP World Antwerp
We are the leading provider of smart logistics solutions, enabling the flow of trade across the globe.www.dpworld.com
Rotterdam bandari yake yenyewe Dp hawapo ila wanafanya Logistic kwenda maeneo mbalimbali wao wanasimamia Stuttgart
Ngumu kukuta ulaya Bandari ambayo Dp world hawamo.
Pia ukisoma Report ya Bank ya Dunia Bandari zote hizo ulizotaja hazifiki Bandari za Middle East
![]()
Middle East Container Ports Are the Most Efficient in the World
The new edition of the Container Port Performance Index shows that ports in the Middle East and East Asia responded best to the global supply chain crisis.www.worldbank.org
Dubai unaishi sehemu gani!?Wingi Siyo ubora
Nyerere alikuwa anaangalia TVZ Kabla hawajaja CTN
Source? Kwamba ni Bandari zote hadi ziwani?Wewe si Bandari nzima.DP wapo gate way moja tu.Na wapo Joint Venture na Campuni zingine. Sisi hapa Tanzania tunawapa Bandari zote baharini,ziwani na nchi kavu.
Hivyo si binadamu. Hapa tunaongelea sisi watanzania. Tunaweza.
Bandari inaendeshwa ovyo sana ukiwa nje huwezi elewaUkiingia Bandarini ndio utajua hatuna akili au tuna akili.