Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Population ya Dubai ni milioni 3.5M na Tanzania ni milioni 63, ina maana hakuna kabisa watu wa ku-design Bandari?

Nawewe uliyesoma umeandika nini rudia kusoma ulichokiandika..ku-design bandari ndo nini
 
Tanzania ni yetu sote.Nimezaliwa hapa na nitatawala hapa hapa.
Hapana hujazaliwa Tanzania, umezaliwa duniani....! Na huwezi kutawala maana unalalamika badala kutafuta suluhisho, wanaotawala huwezi kuwasikia wakilalamika
 
trust me dp world ataenda kuwafunga watu midomo na kusema kwa nini walichelewa kuja husussani tz ni potential kwenye swala la mizigo
Hao DP unafikiri wanafaidika wao au wanatufaidisha sisi?Win win situation ipo?
 
Nawewe uliyesoma umeandika nini rudia kusoma ulichokiandika..ku-design bandari ndo nini
Kichwa chako hakieleweki,maana yake kuweka ufanisi Katika Magate,Logistique ili kila kitu kitoke na kipangwe kirahisi. The same na katika kusafirisha.
 
Kwani mamlaka ya ndani kabisaa ktk nchi, kwann isizuie hili jamboo??
 
Hapana hujazaliwa Tanzania, umezaliwa duniani....! Na huwezi kutawala maana unalalamika badala kutafuta suluhisho, wanaotawala huwezi kuwasikia wakilalamika
Sitaki nchi yangu iuzwe kwa Sheikh ,sitaki.
 
Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.

Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp world

Rotterdam bandari yake yenyewe Dp hawapo ila wanafanya Logistic kwenda maeneo mbalimbali wao wanasimamia Stuttgart

Ngumu kukuta ulaya Bandari ambayo Dp world hawamo.

Pia ukisoma Report ya Bank ya Dunia Bandari zote hizo ulizotaja hazifiki Bandari za Middle East

Kichwa chako hakieleweki,maana yake kuweka ufanisi Katika Magate,Logistique ili kila kitu kitoke na kipangwe kirahisi. The same na katika kusafirisha.
Kumbe hiyo ndo maana ya ku-design bandari sawa. Ila kinacho matter ni ku,-aquire new technology ili tuweze ku copy na Mabadiliko ya kiteknolojia yakidunia.
Nakushuri uedi tittle yako haileti maana
 
Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp world

Rotterdam bandari yake yenyewe Dp hawapo ila wanafanya Logistic kwenda maeneo mbalimbali wao wanasimamia Stuttgart

Ngumu kukuta ulaya Bandari ambayo Dp world hawamo.

Pia ukisoma Report ya Bank ya Dunia Bandari zote hizo ulizotaja hazifiki Bandari za Middle East

Wewe si Bandari nzima.DP wapo gate way moja tu.Na wapo Joint Venture na Campuni zingine. Sisi hapa Tanzania tunawapa Bandari zote baharini,ziwani na nchi kavu.
 
Antwerp ni Bandari inayosimamiwa na Dp world

Rotterdam bandari yake yenyewe Dp hawapo ila wanafanya Logistic kwenda maeneo mbalimbali wao wanasimamia Stuttgart

Ngumu kukuta ulaya Bandari ambayo Dp world hawamo.

Pia ukisoma Report ya Bank ya Dunia Bandari zote hizo ulizotaja hazifiki Bandari za Middle East

Angalia hapa.Wazungu si wapumbavu.
20230608_222829.jpg
 
Wazenji wanataka ku dominate hii nafasi ni hadimu kwao .wanaamini wao na ma sultani ni ndugu
 
Hivyo si binadamu. Hapa tunaongelea sisi watanzania. Tunaweza.

Mgodi wa Williamson baada ya serikali kuwanyang'anya wageni, je! waliweza kuuendesha serikali kama serikali? Au hii kitu haikuwahi kutokea!
 
....inawezekana huko juu wapi ambao wamesha dadavua shida tuliyonayo.

...Hakuna sayansi yeyote ile kubwa ya kufanya Design ya Bandari. Bandari zote zilizokwepo duniani zinatumia dizaini hiyo hiyo iiliyotumiwa in entiquities.

....Nauliza ni kwanini tukope, kutengeneza miundombinu? Kuna sababu gani ya kufanya hivyo? nauliza kwasababu hoja zinazoibuliwa ya kwanini "Wawekezaji" au umuhimu wa uwepo wa Private Public relationship ni Kuongeza Ufanisi; Kwamba kwa sababu wana hela basi sio rahisi kwao kujiibia, kwamba wanafanya kwa werevu na weledi mkubwa sana kuhakikisha kunapatikana faida tu!

Nauliza tena, Kwanini badala yaa kukopa na kufanyia ukarabati(mfano ukarabati wa mkongo wa umeme wa matrilioni)(tetesi inafuatia kuuzwa) tusiwaachie waje wajenge hizo miuondombinu wenyewe, au waanzishe kampuni au mashirika au viwanda wenyewe.....yaani kwanini Serikali ifanye uwekezaji(investment) kwa kitu iliyofanyia upembuzi yakinifu halafu ikaja kushindwa kutekeleza maazimio na azma ya miradi yao, shida ipo wapi?
Kwanini wasibakie kuwa ni arbiters kwanini wasibakie kuwa ni Insurers?

Isitoshe hakuna mengi mapya ambayo wawekezaji huwa wanaongeza zaidi ya Mtaji/fedha na maarifa tu, kwani wafanyakazi wanabakia ni wale wale tu! Na mara nyingi huwapunguza(naamini fika watafukuzwa wengi tu bandarini) Majengo na miundombinu ya eneo yanabakia ni yale yale? Na Madeni yanabakia pale pale tu! Yaani yale mamikopo tuliyachukua kuendeleza Bandari yanabakia pale pake! Maikopo tunayochukua kurakabisha sijui umeme yatabakia pale pale....halafu anakuja mtu kuchukua faida yake kwanza kabla hajaweza kukulipa hata ka ushuru kidogo!

....ngoja ninywe uji nilale
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom