baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Hujaweka Source bibie, report za mwanzo nilizosoma hata hio Bandari hawapewi yote ni Gati tu kadhaa.Ndiyo,hadi nchi kavu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaweka Source bibie, report za mwanzo nilizosoma hata hio Bandari hawapewi yote ni Gati tu kadhaa.Ndiyo,hadi nchi kavu.
Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Weusi huwa hatuaminiani likija suala kubwa kubwa kama hili
Wewe na hao waliokupa like wote ni mb waaa,, huezi kutukana kabila za watu na kujiona bora zaid...kunguni mmoja wwKuwa wengi sio tija. Hata Serengeti utakuta nyumbu zaidi ya 5000 wanakimbizwa na Simba mmoja ambaye hajabalehe. Katika watu 63m kuna wafuatao;
1. Wenye ugonjwa wa kuchanganya L & R kwenye sentensi.
2. Mashabiki wa Yanga.
3. Wakazi wa Geita na Njombe.
4. Wasukuma
5. Wafuasi wa chama cha Mbowe.
6. Wafuasi wa Mwamposa na Kuhani Musa.
7. Mashabiki wa muziki wa Singeli
8. Wahadzabe
9. Machalii wa R
10. Wateja wa Kimboka, Sewa, Corner Bar, Kitambaa cheupe, nk.
12. Video vixens
13. Mpwayungu Village.
Ukitoa hayo makundi hapo juu unakuta wanaobaki wenye akili ni wachache sana kama laki 8 tu.
....inawezekana huko juu wapi ambao wamesha dadavua shida tuliyonayo.
...Hakuna sayansi yeyote ile kubwa ya kufanya Design ya Bandari. Bandari zote zilizokwepo duniani zinatumia dizaini hiyo hiyo iiliyotumiwa in entiquities.
....Nauliza ni kwanini tukope, kutengeneza miundombinu? Kuna sababu gani ya kufanya hivyo? nauliza kwasababu hoja zinazoibuliwa ya kwanini "Wawekezaji" au umuhimu wa uwepo wa Private Public relationship ni Kuongeza Ufanisi; Kwamba kwa sababu wana hela basi sio rahisi kwao kujiibia, kwamba wanafanya kwa werevu na weledi mkubwa sana kuhakikisha kunapatikana faida tu!
Nauliza tena, Kwanini badala yaa kukopa na kufanyia ukarabati(mfano ukarabati wa mkongo wa umeme wa matrilioni)(tetesi inafuatia kuuzwa) tusiwaachie waje wajenge hizo miuondombinu wenyewe, au waanzishe kampuni au mashirika au viwanda wenyewe.....yaani kwanini Serikali ifanye uwekezaji(investment) kwa kitu iliyofanyia upembuzi yakinifu halafu ikaja kushindwa kutekeleza maazimio na azma ya miradi yao, shida ipo wapi?
Kwanini wasibakie kuwa ni arbiters kwanini wasibakie kuwa ni Insurers?
Isitoshe hakuna mengi mapya ambayo wawekezaji huwa wanaongeza zaidi ya Mtaji/fedha na maarifa tu, kwani wafanyakazi wanabakia ni wale wale tu! Na mara nyingi huwapunguza(naamini fika watafukuzwa wengi tu bandarini) Majengo na miundombinu ya eneo yanabakia ni yale yale? Na Madeni yanabakia pale pale tu! Yaani yale mamikopo tuliyachukua kuendeleza Bandari yanabakia pale pake! Maikopo tunayochukua kurakabisha sijui umeme yatabakia pale pale....halafu anakuja mtu kuchukua faida yake kwanza kabla hajaweza kukulipa hata ka ushuru kidogo!
....ngoja ninywe uji nilale
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Pana muda nikiwaangalia hao Wanyama kama Simba au Tembo wana akili kuliko Watanzania haiwezekani tunawekewa kiwango kikubwa cha Tozo huku Mali zetu wakipewa Wajinga tuu wa Nje harafu tupo kimya na kubaki kujisifia ma degree ya uongo tuu inaumiza sana...Kabisa mkuu Yani sisi ni kama ma ng'ombe yanayo swagwa wala hayajui yanapo pelekwa.
Tatizo sugu liko hapa👇👇👇Jamani Hela tunazo,wasomi tunao .Tatizo ni nini?Na karne hii tuna uwezo kabisa wa kuangalia hizo Bandari kama Shangai,Singapore zimefanya nini hadi kuwa na ufanisi?Wachina ,wasingapore wazungu wa Roterdam na Antwerp wamevanya fanya nini?Kulikuwa na Haja ya kumleta huyu katili Sheikh wa Dubai kuwekeza kwetu?Wale ni pesa tu.
Kwanza tujiulize,watalipa kodi ama?Wenye mkataba uwekeni basi hapa tuone.
Mkuu tutake radhi!
Kabisa mkuu au ukiona vipeperushi vyao unaona bonge la Bandari, ingia ndani sasa duh!Bandari inaendeshwa ovyo sana ukiwa nje huwezi elewa
Mbona umewaacha wapiga nyetoKuwa wengi sio tija. Hata Serengeti utakuta nyumbu zaidi ya 5000 wanakimbizwa na Simba mmoja ambaye hajabalehe. Katika watu 63m kuna wafuatao;
1. Wenye ugonjwa wa kuchanganya L & R kwenye sentensi.
2. Mashabiki wa Yanga.
3. Wakazi wa Geita na Njombe.
4. Wasukuma
5. Wafuasi wa chama cha Mbowe.
6. Wafuasi wa Mwamposa na Kuhani Musa.
7. Mashabiki wa muziki wa Singeli
8. Wahadzabe
9. Machalii wa R
10. Wateja wa Kimboka, Sewa, Corner Bar, Kitambaa cheupe, nk.
12. Video vixens
13. Mpwayungu Village.
Ukitoa hayo makundi hapo juu unakuta wanaobaki wenye akili ni wachache sana kama laki 8 tu.