Mkojo utanuka wewe, kwa sababu huna uwezo wa kuzuia posho......utaishia kubwabwaja tu.Wewe huna tofauti na popo anaekojoa kabinulia matako juuu akizani anaikomoa mbingu, kumbe ananuka mkojo mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkojo utanuka wewe, kwa sababu huna uwezo wa kuzuia posho......utaishia kubwabwaja tu.Wewe huna tofauti na popo anaekojoa kabinulia matako juuu akizani anaikomoa mbingu, kumbe ananuka mkojo mwenyewe
Na wewe ni fisadi tu wa Mali za umma (mtandao)Acha tu mzee. Mi ninachofanya kuwakomoa nadownload series ata GB 20-50 kwa siku. Eti nadhani nawatia hasara.
Weekend kama hivi, naishia kuangalia tu movie za Kikorea.
Imagine this[emoji848]Wanajadili miradi ya 100mil wanalipana posho za 200mil sasa ndo nini
Wee subiri cabinet inakuja na maamuzi magumu! Unafikili naropoka tu kama wewe! Kaa kwa kutulia utasikia tuMkojo utanuka wewe, kwa sababu huna uwezo wa kuzuia posho......utaishia kubwabwaja tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tunaonanana kwenye daladala ni manyani sio. Waafrika tuna safari ndefu sana. Upumbavu umetujaa. Ndio maana unakutana na lijitu limevimba tumbo linakutisha ati wanijua mimi ni nani?. Nawe unaliuliza ukifa hauozi?. Nyani kabisa.
Kwahiyo?Mtoa mada sio bure utakuwa ulitimuliwa vyeti feki. Una hasira kama mbogo aliyejeruiwa
Kwamba posho ziondolewe, hizo safari na vikao utazilipia wewe, huna akili aisee....na inavyoonekana huna unalolijua.Wee subiri cabinet inakuja na maamuzi magumu! Unafikili naropoka tu kama wewe! Kaa kwa kutulia utasikia tu
nadhani posho zifutwe hata bungeni maana wanalipwa mishahara...naamin hata waziri anayelalamika watu kujilipa posho ,, i bet na yeye alichukua posho kwa ajili ya siku ile aloenda kwenye ofisi hiyo ,,, inshort posho ni halali sema tu hatujaletewa hesabu ya wanachochukua viongozi ..tutaomba wajiuzulu wote............🙄🙄🙄🙄Posho katika taasisi za umma kwa kiasi kikubwa ni uwizi wa kodi!
Magari ya safari yapo, mafuta wanawekewa, dereva analipwa, hiyo Moja.Kwamba posho ziondolewe, hizo safari na vikao utazilipia wewe, huna akili aisee....na inavyoonekana huna unalolijua.
Jpm muuajiHayo ndio mamno aliyoyakataa JPM.
DaahMizizi wa haya yote chanzo chake ni bungeni kule tulikotuma wawakilishi wetu, mshahara 3.8m posho 8m kwa mwezi, akihudhuria kikao cha bunge kwa siku anakula 360k ambao ni mshahara wa mtumishi mwingne kwa mwezi, anapewa mafuta ya gari lita 1000 kwa mwezi na mkopo wa gari 90m, bima ya afya daraja la kwanza ambayo utatibiwa popote duniani na pensheni ya 250m ndani ya miaka 5.
Afu wakiwa bungeni wanajadili nguvu za kiume mamaye haya mambo yanatia hasira.
Ati walikuwa utawala mmoja! Inaelekea rais hakuwashirikisha wengine alichosimamia, na hao wengine kwa kuwa kuna mtu anasimamia mambo, wao walikuwa wakibembea tu. Haya digo limewaangukia, hawajui la kufanya!watu hawana kazi nyie mnalipana Mamilion ya pesa za posho kweli nchi hii inamwitaji dikteta hata zaidi ya dikteta kuitawala. Mama asipoangalia watamchezea sana na wemeanza mapema sana. Mama samia usipoziba ufa utajenga ukuta.
Mimi nimepiga hesabu watu 125 nilipata kwa kila mtu alichezea kwenye 1. 6 sioni kama ni nyingiBongo watu hawa value kabisa taaluma za watu......si ajabu impact ya wataalamu wetu haionekani kwa hizi dharau, eti mil. 2 ndo mtu anaona mtaalamu kalipwa pesa ndefu....
Ungekuwa ww unatengana na familia unarudi home watoto wamelala usingeona hii posho ni kubwa. swali ww ungezikataa maana ulikuwa ni desturi tangia miaka kibao ilifutwa lini ?....halafu ninaona kuna watu wawili watatu barazani humu wanaliunga mkono hili...!
Ajabu sana!
Mkuu vipi zile interview zako ulizokuwa unatutaka tukuombee ulipata kazi?Mkuu, umeandika jambo moja la maana sana hususan hapo uliposema "angalau kuishi maisha ya hadhi yao".
Mkuu, watu hatufanani umuhimu wetu katika taifa. Katika nchi yoyote ni lazima kuwe na kundi la "elites" watakaokuwa wanawaongoza wenzao ndio maana wengi wao wanakaa Oysterbay na Masaki. Hao jamaa (Wakurugenzi na Mameneja) ni assets sana kwa taifa.
Watu hatufanani hata siku moja.
Kwahiyo walimu, manesi na ma secretary hawakusoma?Hizo wanaziita honoraria, kimsingi nchi hii wataalamu na wasomi wanalipwa mishahara kiduchu sana ukilinganisha na elimu zao. Kwa hiyo zikitokea hizo fursa za viposho ndo wanaponea hapo angalau kuishi maisha ya hadhi yao, vinginevyo wataishia kubanana uswahilini na kwenye daladala.