Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Mpumbavu mwingine wewe. Hebu someni historia na sheria za kimataifa muelewe, siyo kuropoka tu kisa Serikali ni ya CCM. Je CHADEMA ikichukua nchi mtawarejeshea Malawi kipande cha ziwa??Hilo ziwa ni la malawi mkuu, nyererealiwazidi tu kete, enzi hizo tz inaheshimika sio saiz ilivyo, lilishataka kileta vita miaka ya karibuni akiwa rais wao mwanamke, na ni duala la siku tu watalichukua, hakuna ziwa funiani lina majina 2