Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #181
Malawi wanatumia principle ya uti possidetis juris (Mikataba ya mipaka ya kikoloni inalindwa) ambayo ime base kwenye Heligoland Treaty ya 1890.
Tanzania ina base kwenye principle ya median line (mipaka ya maziwa).
Ubatili wa Mkataba wa 1890 ni kama ifuatavvo:-
-Tanzania haikuwa nchi huru mwaka 1890.
-Mkataba haukutaja rasilimali chini ya ziwa (oil, gas, nk).
-Hauzingatii kanuni za kisasa za haki ya matumizi ya maji (riparian rights)
Nimekuuliza swali hujajibu, hiyo riparian right ipo by default au ni mpaka mahakama ya mipaka itoe hukumu?Malawi wanatumia principle ya uti possidetis juris (Mikataba ya mipaka ya kikoloni inalindwa) ambayo ime base kwenye Heligoland Treaty ya 1890.
Tanzania ina base kwenye principle ya median line (mipaka ya maziwa).
Ubatili wa Mkataba wa 1890 ni kama ifuatavvo:-
-Tanzania haikuwa nchi huru mwaka 1890.
-Mkataba haukutaja rasilimali chini ya ziwa (oil, gas, nk).
-Hauzingatii kanuni za kisasa za haki ya matumizi ya maji (riparian rights)
Japo ume highlight weakness za Heligoland Treaty ambazo na mimi nazi acknowledge, ila hiyo hiyo Heligoland Treaty unayoiona ina weakness ndo itakuwa starting point ya kuzungumzia hili suala. Usiidogoshe, Heligoland Treaty