Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #21
Sina hiyo ajenda, hii ni taarifa iliyonifikirisha. Hivo tuKuhamisha mjadala......
Sina hiyo ajenda, hii ni taarifa iliyonifikirisha. Hivo tuKuhamisha mjadala......
Kawape Malawi si unakufahamu.Hilo ziwa ni la Malawi watanzania tuache janja janja
Kwani nyaraka za mkoloni zinasemaje? Inawezekana kulikuwa na ombwe, na kila mmoja akajaribu kuliziba, ila Malawi labda wanaonesha walikuwa makini kuliziba ombwe kuliko sisi!Ilo ziwa sio letu sema tu tulitumia ujanja ujanja kwa sababu tulipata Uhuru mapema.
We angalia ata mchoro wa mkoa wa kilimanjaro, mto kagera ni utoto mtupu
Mungu atusaidie tu asitokee iddi amin mwingine east Africa
Siwashauri' ila kama wanayo nia kweli hao waMalawi juu ya ziwa hilo; wakati wao ni sasa kulidaikwa nguvu.Hawa wapumbavu Malawi mbona wanataka ipanda nchi kichwani ? Wajue hii nchi sio ya ccm , ni ya wananchi wakileta vyoko vyoko tutawapa kichapo cha mbwa koko nipo tiyari kwenda mstari wa mbele , kama mwananchi tetea taifa langu si la wezi wale ,pumbavu Malawi .
Kama Malawi wanalitaka ilo ziwa Nyasa wayahamishe maji yasifike Tanganyika , hawa wapuuzi naona wanataka kutuzoea ,JWTZ nipe tenda niwaoneshe hawa washenzi
Nahisi ni kutuonyesha kuwa, ukiwatukana wazungu, wana njia nyingi za kukupata, kukuondoa, kukuuwa au kukupiganisha.Unaleta taarifa hii hapa sasa hivi ili iweje?
Lengo lako ni nini?
Tusiandikie mate. Hao CIA na yeyote anayedhania hilo ziwa Nyasa linaloitwa Ziwa Malawi na nchi ya Malawi liko Malawi basi waje waingie kwenye maji yetu. Tutawaonyesha cha mtema kuni.Wakati wenye mamlaka wakiwa busy kuponya majeraha ya MO29, kwa kuyakanusha na kupindua taarifa za ukweli; wenye dunia yao huko duniani, hawachoki kuitafiti dunia na ku shape geopolitics kulingana na taarifa sahihi za kiuchunguzi.
Jana niliingia Instagram, kwenye post ya CIA, nikakuta wameweka taarifa nzuri nzuri kuhusu Ziwa Malawi (sisi tunalijua kama ziwa Nyasa), ikiwemo hii kwamba: ni ziwa lenye fish species nyingi kuliko ziwa lolote lile duniani, na ni ziwa la nne kubwa duniani lenye fresh water.
Binafsi hiyo ya fresh water nilikuwa naijua, ila hii ya kwamba Ziwa Nyasa lina species nyingi kuliko ziwa lingine lolote duniani, sikuwahi kuijua.
Kwa sababu kwa wenzetu CIA pia ina muunganiko wa kikazi na Makampuni ya kimarekani; nimejiuliza itakuwaje pindi makampuni ya kimarekani yatakapoanza uwekezaji wao pale Ziwa Malawi. Je, hii hatua haita chechemua mgogoro mpya wa mpaka kati ya Tanzania na Malawi?
Kilichonishangaza zaidi ni kwamba: kwenye post hiyo ya CIA, hawakugusia kabisa kwamba Ziwa Malawi lipo pia nchi ya Tanzania kwa sehemu kubwa. Na waligongelea msumari kwa kusema, "Malawi's Lake Malawi." Je, haiwezi kuwa ni turufu kwa Malawi, kwamba mataifa makubwa yanajua tayari kwamba Ziwa Malawi lililopo upande wa Tanzania, pia ni mali ya Malawi? Na kwa sababu tayari Tanzania kupitia CCM imewabagaza wazungu; je, Tanzania itaweza kujihesabia haki ya umiliki wa ziwa Malawi lililopo upande wa Tanzania, pindi mgogoro ukirudi upya, kama dalili zinavyoonesha?
View attachment 3518251
Wenu,
MC
Bwege sana wewe!! Ziwa halipambaniwi kwenye mtandao bali linapambaniwa ardhini. Mwaka 1967 wakati wa Rais wa kwanza wa Malawi, Hastings Kamuzu Banda alijaribu kutu provoke na majibu aliyapata. Pengine hata baba yako alikuwa hajazaliwaHuo sio uchokozi wa bure, ukiona hivyo chances are kuna kitu cha thamani kwenye hilo bwawa na Malawi wako tayari kugawa sawa na bure.
But then at this point watanzania wengi wameishiwa nguvu na morale ya kuipambania nchi yao huko mitandaoni chini ya uongozi wa Samia.
Nadhani patriotism sentiments are lowest since independence.
Lengo watz tuwe serious na mambo ya maanaUnaleta taarifa hii hapa sasa hivi ili iweje?
Lengo lako ni nini?
Hizo habari kawaambie CIA sio mimi.Bwege sana wewe!! Ziwa halipambaniwi kwenye mtandao bali linapambaniwa ardhini. Mwaka 1967 wakati wa Rais wa kwanza wa Malawi, Hastings Kamuzu Banda alijaribu kutu provoke na majibu aliyapata. Pengine hata baba yako alikuwa hajazaliwa
HahahaIlo ziwa sio letu sema tu tulitumia ujanja ujanja kwa sababu tulipata Uhuru mapema.
We angalia ata mchoro wa mkoa wa kilimanjaro, mto kagera ni utoto mtupu
Mungu atusaidie tu asitokee iddi amin mwingine east Africa
Ni sahihi, story za waMalawi na Ziwa Nyasa, huwa zinakera masikio. Hakuna mtanzania atataka hilo ziwa lichukuliwe kizembe. Kuchukuliwa hilo ziwa maana yake ni kuwapotezea fursa watanzania sio chini ya milioni 10.Siwashauri' ila kama wanayo nia kweli hao waMalawi juu ya ziwa hilo; wakati wao ni sasa kulidaikwa nguvu.
Wakifanya hivyo, watakuwa wanatusaidia nasi kushughulika na hawa waovu akina Samia na Genge lake kabla hatujawawageukia wao kuwaonyesha mpaka sahihi ulipo.
There can be no better time than now for Malawians or anyone else to make a move. Tanzania is at its lowest level it has ever beenHuo sio uchokozi wa bure, ukiona hivyo chances are kuna kitu cha thamani kwenye hilo bwawa na Malawi wako tayari kugawa sawa na bure.
But then at this point watanzania wengi wameishiwa nguvu na morale ya kuipambania nchi yao huko mitandaoni chini ya uongozi wa Samia.
Nadhani patriotism sentiments are lowest since independence.
Cha umuhimu ukweli ujulikane na upambaniwe. Ni shida ya kuwa na viongozi wanapuuzia vitu vya msingi kama hivi. Kuwapa Malawi ziwa nyasa lililopo sehemu ya Tanzania litakuwa ni kosa la kihistoria kama ilivyokuwa MO29Ziwa la Malawi. Kwanza Nyasa maana yake ni Ziwa/Lake . Malawi aka yake ni Nyasa land, sisi tuliwahi kujimegea tu. Is it a coincidence kila border yetu iko katikati ya ziwa?
Tanzania's military dwarfs Malawi's in manpower, armor, airpower, and budget. Your "lowest level" fantasy ignores reality, any move would end in humiliating defeat for Malawi. Dream onThere can be no better time than now for Malawians or anyone else to make a move. Tanzania is at its lowest level it has ever been
Kwa sasa hivi hakuna jambo lililo 'serious' zaidi ya uwepo wa Samia Suluhu Hassan na Genge lake kwenye unajisi wa taifa hili.Lengo watz tuwe serious na mambo ya maana
The only 'fantasy' is to imagine that military power is the possession of military hardware!Tanzania's military dwarfs Malawi's in manpower, armor, airpower, and budget. Your "lowest level" fantasy ignores reality, any move would end in humiliating defeat for Malawi. Dream on