Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

Tusiandikie mate. Hao CIA na yeyote anayedhania hilo ziwa Nyasa linaloitwa Ziwa Malawi na nchi ya Malawi liko Malawi basi waje waingie kwenye maji yetu. Tutawaonyesha cha mtema kuni.
Braza braza! CIA hutawaona wakikupiga. Kitachofanyika ni kwamba wamalawi kwakuwa wamesukuma kete zao huku sisi tukiwa tumelala; wamefanikiwa kuiaminisha jamii ya kimataifa kwamba ziwa ni lao. Wamalawi wamefanikiwa kuuza uongo wao. Ikiwa vita vitatokea, dunia itasema, "Tanzania inataka kuchukua sehemu ya Malawi kimabavu." Ikishakuwa hivo, maana yake tutakuwa tumepoteza legitimacy ya kupigania ziwa nyasa.
 
Huo sio uchokozi wa bure, ukiona hivyo chances are kuna kitu cha thamani kwenye hilo bwawa na Malawi wako tayari kugawa sawa na bure.

But then at this point watanzania wengi wameishiwa nguvu na morale ya kuipambania nchi yao huko mitandaoni chini ya uongozi wa Samia.

Nadhani patriotism sentiments are lowest since independence.
Umeeleza vyema, inawezekana kuna mali ipo pale, zaidi ya hayo maji. Na inawezekana hiyo mali ipo upande wa Tanzania
 
Tusiandikie mate. Hao CIA na yeyote anayedhania hilo ziwa Nyasa linaloitwa Ziwa Malawi na nchi ya Malawi liko Malawi basi waje waingie kwenye maji yetu. Tutawaonyesha cha mtema kuni.
Hahaha,
Ingawa siungi mkono Tz kupokonywa haki yake ya sehemu ya ziwa Nyasa, ila nachekeshwa na hiki kitisho chako. Ni kama sungura kumtishia kumla simba.

Kurudi kwenye mada, ni kwamba jamii zote zinazopakana na maji zinakuwa na haki ya asili ya kupata riziki (livelihood) kutokana na maji hayo kwa mambo kama uvuvi, umwagiliaji wa mashamba, usafiri wa majini, nk.

Haiwezekani jamii ya upande mmoja imepakana na maji (ziwa) halafu wasiyatumie kabisa kwamba ni ya nchi nyingine.
 
Haijatoka Kwa bahati mbaya aiseh!

Calculated movement!

Yake ya urusi na Ukraine kupitia NATO yaani Malawi dhidi ya TZ kupitia USA kwenye medani za kivita loading!!

Vita vya kijasusi vya kiuchumi kati mashirika ya urusi,uarabuni,wachina vs uingereza, USA n.k wameanza ***** ***** rasmi!!
 
Bwege sana wewe!! Ziwa halipambaniwi kwenye mtandao bali linapambaniwa ardhini. Mwaka 1967 wakati wa Rais wa kwanza wa Malawi, Hastings Kamuzu Banda alijaribu kutu provoke na majibu aliyapata. Pengine hata baba yako alikuwa hajazaliwa
Unasema Mwaka 1967 wamalawi walipata majibu. Sasa hivi tupo 2025, na dunia inatambua linaitwa ziwa Malawi; hapo ni nani mjanja na nani ni boya?

Mwaka 1967 tulikuwa na upper hand tukashindwa kurasimisha; wenzetu wakatumia akili, wakacheza cheusi chekundi, sasa hivi dunia inaliita "Malawi's Lake Malawi." Hapo nani mzembe?
 
Hahaha,
Ingawa siungi mkono Tz kupokonywa haki yake ya sehemu ya ziwa Nyasa, ila nachekeshwa na hiki kitisho chako. Ni kama sungura kumtishia kumla simba.

Kurudi kwenye mada, ni kwamba jamii zote zinazopakana na maji zinakuwa na haki ya asili ya kupata riziki (livelihood) kutokana na maji hayo kwa mambo kama uvuvi, umwagiliaji wa mashamba, usafiri wa majini, nk.

Haiwezekani jamii ya upande mmoja imepakana na maji (ziwa) halafu wasiyatumie kabisa kwamba ni ya nchi nyingine.
Mkuu hicho unachosema hakiwezekani kinaweza kuwezekana bila shida yeyote. Japo najua hiyo sheria kweli ipo. Ila tujiulize kwanza: hiyo sheria na mpaka, kipi kilitangulia kuwepo kabla ya mwenzake?
 
Haijatoka Kwa bahati mbaya aiseh!

Calculated movement!

Yake ya urusi na Ukraine kupitia NATO yaani Malawi dhidi ya TZ kupitia USA kwenye medani za kivita loading!!

Vita vya kijasusi vya kiuchumi kati mashirika ya urusi,uarabuni,wachina vs uingereza, USA n.k wameanza ***** ***** rasmi!!
USA anapenda kuwepo mahali penye chaos. Issue ya Ukraine, Taiwan...
 
Tanzania's military dwarfs Malawi's in manpower, armor, airpower, and budget. Your "lowest level" fantasy ignores reality, any move would end in humiliating defeat for Malawi. Dream on
Vita vinapiganwa kuanzia kwenye kichwa. Kama Malawi wakifaulu kuiaminisha dunia kwamba ziwa ni mali yao, wewe na maguvu yako hutafanya chochote. Maana ukifanya chochote, mabeberu wanaoitawala security council, wanapitisha group consensus kukulaani kwa kutaka kuchukua ardhi ya mwenzako, ukionesha ubabe, wanatumia hilo azimio la umoja wa mataifa kukutwanga. Ndo mabepari walivo. Kama walichofanyiwa Serbia na Nato wakati walipotaka kuiletea Cosovo chokochoko.
 
The only 'fantasy' is to imagine that military power is the possession of military hardware!
The assumption that military power is merely hardware possession is naive nonsense. True power demands trained forces, logistics, command, industry, intelligence, and will. That's how TPDF is structured
 
Braza braza! CIA hutawaona wakikupiga. Kitachofanyika ni kwamba wamalawi kwakuwa wamesukuma kete zao huku sisi tukiwa tumelala; wamefanikiwa kuiaminisha jamii ya kimataifa kwamba ziwa ni lao. Wamalawi wamefanikiwa kuuza uongo wao. Ikiwa vita vitatokea, dunia itasema, "Tanzania inataka kuchukua sehemu ya Malawi kimabavu." Ikishakuwa hivo, maana yake tutakuwa tumepoteza legitimacy ya kupigania ziwa nyasa.
Mkuu acha kuota ndoto za mchana. Dunia inaendeshwa kwa mikataba na sheria za kimataifa. Nenda kasome Inteenational riparian rights/ law. Inasema hivi,

"Riparian rights simply mean the rights bestowed on the people living along the banks of rivers. Riparian Rights are natural results that occur as rights because of residence in a specific. area. These are rights which belong to persons who live on a shore, bank or a river, ocean or lake."
 
Hahaha,
Ingawa siungi mkono Tz kupokonywa haki yake ya sehemu ya ziwa Nyasa, ila nachekeshwa na hiki kitisho chako. Ni kama sungura kumtishia kumla simba.

Kurudi kwenye mada, ni kwamba jamii zote zinazopakana na maji zinakuwa na haki ya asili ya kupata riziki (livelihood) kutokana na maji hayo kwa mambo kama uvuvi, umwagiliaji wa mashamba, usafiri wa majini, nk.

Haiwezekani jamii ya upande mmoja imepakana na maji (ziwa) halafu wasiyatumie kabisa kwamba ni ya nchi nyingine.
Hiyo ndiyo dhana ambayonami naiamini. Kitaalamu inaitwa international roparian rights.

"Riparian rights simply mean the rights bestowed on the people living along the banks of rivers. Riparian Rights are natural results that occur as rights because of residence in a specific. area. These are rights which belong to persons who live on a shore, bank or a river, ocean or lake."
 
Vita vinapiganwa kuanzia kwenye kichwa. Kama Malawi wakifaulu kuiaminisha dunia kwamba ziwa ni mali yao, wewe na maguvu yako hutafanya chochote. Maana ukifanya chochote, mabeberu wanaoitawala security council, wanapitisha group consensus kukulaani kwa kutaka kuchukua ardhi ya mwenzako, ukionesha ubabe, wanatumia hilo azimio la umoja wa mataifa kukutwanga. Ndo mabepari walivo. Kama walichofanyiwa Serbia na Nato wakati walipotaka kuiletea Cosovo chokochoko.
Kwa hiyo umejidogosha kwa Malawi?? Unaona Tanzania haina akili huko Security Council?? Yaani nyie kwa vile mtoa mada anasema ameingia website ya CIA akakuta makala inasema ziwa Malawi, na kwa vile hajataja Nyasa basi mnaona tayari tumepoteza.

Hebu someni japo history kidogo.
Malawi wanatumia sababu za Kihistoria kuwa ni la kwao peke yao zinazotokana na Heligoland Treaty ya 1890 na uzembe wa Mkoloni Mwingereza ambaye Malawi ilikuwa colony lake na Tanzania ilikuwa trusteeship yake. Mwingereza akafanya uzembe kurekebisha mipaka hadi nchi zote 2 zikapata uhuru bila kurekebisha. Lakini Lake Nyasa ni mali ya nchi 3; Tanzania, Mozambique na Malawi.

Mpaka inakuwa exactly at the center of the lake
 
Ilo ziwa sio letu sema tu tulitumia ujanja ujanja kwa sababu tulipata Uhuru mapema.

We angalia ata mchoro wa mkoa wa kilimanjaro, mto kagera ni utoto mtupu

Mungu atusaidie tu asitokee iddi amin mwingine east Africa
Kwa hiyo unamaanisha Mwalimu Nyerere aliwafanyia janjajanja majirani zetu?
 
Kwa mantiki hiyo ziwa Victoria lote na mto Nile na mito yote inayojaza maji ni mali ya Misri na inabidi kuthibitiwa ba Misri.
 
Back
Top Bottom