Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

Post ya CIA imenifikirisha: Wamelisifia Ziwa Malawi (Ziwa Nyasa) pasipo kuitaja Tanzania!

hilo ziwa ni la malawi kama ilivyo kigoma ni ya burundi na kagera ni ya uganda, yaani huwa wapuuzi wanaoropoka ovyo daily hapa nchini watapigwa mande haijawahi kutokea, wakati malawi wanadhibiti ziwa, burundi muda huo watakuwa wanaichukua kigoma na ziwa lote la tanganyika, wakati huo muhooze byarugaba akiichukua sehemu ya mkoa wa kagera ikiwemo mto kagera. samuya ameyatimba na kilaza wake PM madelu
Nina mawazo yasiyotofautiana na ya kwako; Rwanda na Burundi wanazaliana kama panya, mpaka sasa zote kwa pamoja zina idadi ya watu kama milioni 30. Hiyo inakupa picha kwamba: kuna implicit motive kwa Rwanda na Burundi kujiongeza, either kupitia Congo ambapo Rwanda washaanza, au kupitia Tanzania ikiwa Tanzania itaingia kwenye mnyororo wa udhaifu na mgawanyiko.

Kwahiyo sio swala la ikiwa ni kitu kinachowezekana au lah, ni suala la ni lini.
 
k
Tusiandikie mate. Hao CIA na yeyote anayedhania hilo ziwa Nyasa linaloitwa Ziwa Malawi na nchi ya Malawi liko Malawi basi waje waingie kwenye maji yetu. Tutawaonyesha cha mtema kuni.
kwa hawa mgambo wqnaovaa mabakamabaka?? jidanganye kama hamjafirwa
 
hilo ziwa ni la malawi kama ilivyo kigoma ni ya burundi na kagera ni ya uganda, yaani huwa wapuuzi wanaoropoka ovyo daily hapa nchini watapigwa mande haijawahi kutokea, wakati malawi wanadhibiti ziwa, burundi muda huo watakuwa wanaichukua kigoma na ziwa lote la tanganyika, wakati huo muhooze byarugaba akiichukua sehemu ya mkoa wa kagera ikiwemo mto kagera. samuya ameyatimba na kilaza wake PM madelu
Sisi tuna CDF anayesubiri kupewa amri na Maelekezo kutoka kwa Mafwele......aibu sana
 
Nawashauri Malawi waanze mda huu kuchukua Ziwa Lao...wakati huu Jeshi limegawanyika na kuparanganyika... ...wakati huu Jeshi lipo bize kumlinda Bibi haram
 
Hata wamasai wote inasemekana ni wa Kenya...
Wamasai wapo pote pote kama Wajaluo. Ila sidhani kama hoja zako zinataka ku conlude kwamba na Ziwa Nyasa lipo pote pote.

Mpaka sasa imejulikana kupitia uzi huu kwamba Heligoland Treaty iliwapa umiliki Malawi. Na kingine: Mwingereza alizembea kuweka mpaka katikati ya ziwa. (Hii ni kwa mujibu wa Huihui2 .Sasa kama mwingereza alizembea, je, hiyo ndo itaipa Tanzania turufu ya automatically kuweka mpaka katikati ya ziwa?

Ngoja tuupe muda nafasi, kama unavyosemaga.
 
Tusiandikie mate. Hao CIA na yeyote anayedhania hilo ziwa Nyasa linaloitwa Ziwa Malawi na nchi ya Malawi liko Malawi basi waje waingie kwenye maji yetu. Tutawaonyesha cha mtema kuni.
Kwa Jeshi gani...?? hili linalopokea Maelekezo ya Mafwele...hili lilifurushwa na M23 na Kagame...???? Hili Jeshi oillilosahau majukumu yake msingi na kufanya kazi Polisi wa kiraia????

Huu ndio wakati wa Malawi kuchukua Ziwa Lao....wakati huu nchi imeparanganyika.. .....wakati huu Jeshi limegawanyika wazi wazi
 
Braza braza! CIA hutawaona wakikupiga. Kitachofanyika ni kwamba wamalawi kwakuwa wamesukuma kete zao huku sisi tukiwa tumelala; wamefanikiwa kuiaminisha jamii ya kimataifa kwamba ziwa ni lao. Wamalawi wamefanikiwa kuuza uongo wao. Ikiwa vita vitatokea, dunia itasema, "Tanzania inataka kuchukua sehemu ya Malawi kimabavu." Ikishakuwa hivo, maana yake tutakuwa tumepoteza legitimacy ya kupigania ziwa nyasa.
Wacha huyo Mkunda aendelee kumlinda Illegitimate President wakati huku Wanajeshi wake wamegawanyika na kuparanganyika...??
 
Back
Top Bottom