Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,371
- 2,834
HahahQuality education science and technology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahQuality education science and technology
Hahaha...hii ya shule gani hii?Elimu bora kwa wote Na wote kwa Mungu
Marahaba, nIliishi Seuta D2 form one hadi form fourDaah shikamoo anko me mtoto wa juzi pale,,, Ila kitomari kanifu dsha alkua wa chemistry sio kiswahil
Sueta na Chabu mwisho wa mabweni😄 genge la wahuni uko miaka ya hivi karibuni Ila ulpita kitambo faza saiv pamebadilika Sana aiseeNIliishi Seuta D2 form one hadi form four
Wakati huo Mazengo hall tunaonyeshwa cinema za akina Yombayomba na kucheza disco na Iringa girls (tulikuwa tunawaita Iringa zoo)Sueta na Chabu mwisho wa mabweni😄 genge la wahuni uko miaka ya hivi karibuni Ila ulpita kitambo faza saiv pamebadilika Sana aisee
We man to man man to man iyaaa iyaaa kipara chako kinamagamba[emoji445][emoji1] umenkumbusha mbal we jmaa enzi za vitom,shumbi,nyuka,kombora
Kitomari wa “wale wali wali wali wale wale”?Daah shikamoo anko me mtoto wa juzi pale,,, Ila kitomari kanifu dsha alkua wa chemistry sio kiswahil
Yeah Ila miaka ya karibuni ilkua bilabila no iringa gals Wala nnWakati huo Mazengo hall tunaonyeshwa cinema za akina Yombayomba na kucheza disco na Iringa girls (tulikuwa tunawaita Iringa zoo)
Hahahaa yeah mze Lyande moja iyo kuoga umoumo kukata gogo umoumo😄Wazee wa Lyandembela sio[emoji3]
Wazee wa don't ask what the school can do for you but ask what you can do for the school.'Aim High'
Bila kusahau wimbo wenu wa .... my beloved school our motto, our motto is to aim high and high ....'Aim High'
"Education is better than money"