Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Kosa la Wambura ni kipi? Au ndio mbuzi wa kafara?Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
Kosa la Wambura ni kipi? Au ndio mbuzi wa kafara?
Ukimpigia Simu mwambie anaondoka muda wowote na baada ya hapo hakikisha unamtafutia Kazi sawa?Huyu naye muongo, muombe akutajie wako wangapi, idadi ya wakike na wa kiume. Wazazi, na mengine. Humu ndani kumbe watu huongea uongo na watu tunawaamini dah. Leo nimeshangaa, usiku nitamcall tucheke aisee si kwa kupewa makabila hayo.
Unauliza Condoms Guest House / Lodge?Kosa la Wambura ni kipi? Au ndio mbuzi wa kafara?
Wewe jamaa mjuaji sana, Wambura ni mkurya anatoka koo ya Wairegi, kijijini kwao ni Ryamisanga na mama yako ni mtu wa Nyamongo.Nimeshampa ufananuzi na narudia tena GENTAMYCINE natoka Kijiji kimoja na akina Sirro na huyu Wambura Uzanakini.
Reform kubwa inatakiwa kufanywa kwenye tanpol. Bado Lina mentality ya kikoloni. Linatakiwa liwe Police Service na sio Police Force
Haya Kaoge ukalale.Wewe jamaa mjuaji sana, Wambura ni mkurya anatoka koo ya Wairegi, kijijini kwao ni Ryamisanga na mama yako ni mtu wa Nyamongo.
Waziri kaipata fresh huko Kwa Watu wa TangaAngeanza na yule waziri wa idara husika
Mbuzi wa kafalaKama serikali inahusika unamtowaje Wambura.
NimeonaWaziri kaipata fresh huko Kwa Watu wa Tanga
leta maelezo yaliyojitosheleza kwamba likiwa police service utendaji wao wa kazi utabadilika au itakuwa kama Kenya police service au kama USA police!! Tusiwe watu wa kuiga tu,kama nchi tunakiwa tuwe wabunifu.Reform kubwa inatakiwa kufanywa kwenye tanpol. Bado Lina mentality ya kikoloni. Linatakiwa liwe Police Service na sio Police Force
Yaani Genta Mongoso atafutiwe kazi? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hebu acha zako. Unafikiri amefika hapo kwa mbeleko? Muheshimu Kamanda.Ukimpigia Simu mwambie anaondoka muda wowote na baada ya hapo hakikisha unamtafutia Kazi sawa?
oya mnaleta ukabila sana kama vipi huyo ndugu yenu aliwe tu kichwa.Wewe jamaa mjuaji sana, Wambura ni mkurya anatoka koo ya Wairegi, kijijini kwao ni Ryamisanga na mama yako ni mtu wa Nyamongo.
Cheo cha Sir, umekitoa wapi au typing error.Jumatano asubuhi Sir George Simbachawene anaapishwa kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi kuchukua nafasi ya Hamad Masauni; tunzeni hii post
Mwambie huyu ndugu yako amefeli sana. Wengi tulikuwa na confidence na uteuzi wake. Lakini, it seems he will go down as one of the worst IGP in history next to Mahita.Ndugu yangu, umeyatoa wapi ya Uzanaki? Sirro ndiyo alikuwa Mzanaki. Huyu mimi ni ndugu wa damu, hatuna Uzanaki kuna Kijiji kinaitwa Bwerege, waerege na upande Nyamongo. Hizo kabila zote Wakurya, hatuna Uzanaki hata chembe Genta. Aliyekwambia hamjui...
Umetutia Aibu sana Wazanaki wote kwa Utendaji wenye Mashaka hapo Polisi na kulifanya Taifa liwe Mashakani sasa.
No comment.Mwambie huyu ndugu yako amefeli sana. Wengi tulikuwa na confidence na uteuzi wake. Lakini, it seems he will go down as one of the worst IGP in history next to Mahita.
Bantu kumbe ni mkurya😂😂Hii dunia hee🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nani kakataa hayo majina. Wakurya tuna Magesa na Wasukuma wana Magesa, majina yapo kila sehemu. Sasa unaona mtu anawapa kabila na si lenu, ukubali tu ndiyo? Hatuna Uzanaki why mnatulazimisha. Wewe kabila lako unalijua si ndiyo? Nikupe hapa kabila lingine, utakubali tu. Ukweli lazima usemwe.