Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Alikuaga mtu fulani hivi yani mdada wa kipekee kabisa, alivoanza kufunuliwa na kina diamond amekua kama kina wema nae..... MaskiniKabisa wamempotezea dira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuaga mtu fulani hivi yani mdada wa kipekee kabisa, alivoanza kufunuliwa na kina diamond amekua kama kina wema nae..... MaskiniKabisa wamempotezea dira
Sure!,Kikwazo cha Kiba na Kate wala hakiwezi kuwa Diamond lakini kwa mbaaaaaaaali, naifahamu familia ya akina Kate!! Pana kazi uwashawishi wale wazee ili hatimae aolewe na Mwislamu!!! Na kwa bahati mbaya sana, Kate mwenyewe ana nyota ya Waislamu kwa sababu anapenda celebrities!
Yani alipoanzana na mond wala watu ndo walimuona huyu hajielewi walah mwenyewe before I thought the same kuhusu yeye lakini alipoanzana nao, mweeeh wasanii wamemtia gundu joketiAlikuaga mtu fulani hivi yani mdada wa kipekee kabisa, alivoanza kufunuliwa na kina diamond amekua kama kina wema nae..... Maskini
Na akaona Ku date nao ni kiki tosha kumbe ni kujishushia heshima yake to zero sasa kiba mwenyewe anavomzalilisha hadi familia kumkana lohJokate alishapoteza muelekeo siku alipoanza ku-opt kutoka na celebrities wenzake!! It's like alikuwa anawaona akina Wema wanafaidi!!
Kiba mwenyewe namuona hakutumia busara walah nilikuwa namwona wa maana kumbe hamnazo, yani manager na mapenzi wapi na wapi hawa ukute walikuwa wananjunjana long time sema ndo wameonyesha live, mapenzi na kazi hayaendi ngoja kiba achepuke.Ila DB tuache masihara na tuweke ushabiki pembeni!! Hiki kilichotokea nilifahamu from day one kwamba it's a matter of time!! Kiba kakosea sana kutoka na Seven... anyway, I love Seven, she's sexy and beautiful!! Naipenda ile midomo yake iliyokaa kishari shari!!! Hata mimi ningekuwa ndo Kiba, huenda nisingemwacha! Unamwachaje Seven?! Ili upate thawabu kwa Mungu; au?!
But all in all, unapochanganya kazi na mapenzi; haya yaliyotokea lazima yatokee...!!!
Wewe uliye smart upstairs una nini zaidi ya ujivuni ?Ila hawako 'smart' upstairs, nadhani elimu ndogo inachangia
[emoji3] [emoji2]Kwani shule ndio inapiga mshobozi?
Jipende mwenyewe kwenda huko, kila mtu na maisha yake hamkuzaliwa tumbo moja, Tafuta pesa yako Jipende mwenyeweIwe kubwa ndogo ya punda Mimi napenda kufikishwa, kupendwa na kujaliwa ndo silaha kubwa za maangamizi kwangu.
Na ulicheko jokate katokea familia bora...ukoo wao karibu wote wakp njema...sasa yy ndio hovyo hovyo..anamtia aibu shangaz yake jenisterKwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.
Hakunaga mwanaume wa ajabuJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
Ipo siku atakumbuka shuka kumekucha tayari, ndo hasara ya kuchaganya ya dunia na church, imagine from kuimba kwaya had kukimbizana na wa bongo flevaNa ulicheko jokate katokea familia bora...ukoo wao karibu wote wakp njema...sasa yy ndio hovyo hovyo..anamtia aibu shangaz yake jenister
Ni kajingaaaJojo alikosea kudate na hivi vimtu
Mkuu mbona povu hivo siungepita tu kimya it seems uko stressed sio kwa povu hili Walahh!!Jipende mwenyewe kwenda huko, kila mtu na maisha yake hamkuzaliwa tumbo moja, Tafuta pesa yako Jipende mwenyewe
Atakuwa bibi sababu ya stress za kujitafutiaHuyu binti tatizo lake ni dogo sana,anapenda kudate na watu alio wazidi akili mwisho wa siku ndo hivyo wanaishia kumuumiza moyo....
Jua lishazama kwa seven ht ndoa ya talaka km jd hajapata....mchaga yule naona kachagua sana mpk kakosa wa kumuoa ss hivi anabaka kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ila DB tuache masihara na tuweke ushabiki pembeni!! Hiki kilichotokea nilifahamu from day one kwamba it's a matter of time!! Kiba kakosea sana kutoka na Seven... anyway, I love Seven, she's sexy and beautiful!! Naipenda ile midomo yake iliyokaa kishari shari!!! Hata mimi ningekuwa ndo Kiba, huenda nisingemwacha! Unamwachaje Seven?! Ili upate thawabu kwa Mungu; au?!
But all in all, unapochanganya kazi na mapenzi; haya yaliyotokea lazima yatokee...!!!
Huyu kiba naye loh had manager wala kanishinda tabia. Seven ni mdada mrembo inaonyesha wa long ila naye inaonyesha aliendekeza kula ujana na kusahau kuhusu family issues.Jua lishazama kwa seven ht ndoa ya talaka km jd hajapata....mchaga yule naona kachagua sana mpk kakosa wa kumuoa ss hivi anabaka kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo ana kampuni yake, ya Portal Noveli, sashiv katulia na kazi na familia yake. Huwa anapost vitu vya maana sana (very educational) kwenye instgram yake.Halafu yupo wapi huyu?! That's my beautiful girl of all time...!!
Namfaham Hashimu ThabithJokate ni mrembo ila anapo bugi step ni Ku date vianaume vya ajabu ajabu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli we DivaMkurungu wa Ali k si mchezo naskia.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] according to.......[emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli we Diva