Povu la Jokate

Povu la Jokate

Kikwazo cha Kiba na Kate wala hakiwezi kuwa Diamond lakini kwa mbaaaaaaaali, naifahamu familia ya akina Kate!! Pana kazi uwashawishi wale wazee ili hatimae aolewe na Mwislamu!!! Na kwa bahati mbaya sana, Kate mwenyewe ana nyota ya Waislamu kwa sababu anapenda celebrities!
Sure!,
 
Alikuaga mtu fulani hivi yani mdada wa kipekee kabisa, alivoanza kufunuliwa na kina diamond amekua kama kina wema nae..... Maskini
Yani alipoanzana na mond wala watu ndo walimuona huyu hajielewi walah mwenyewe before I thought the same kuhusu yeye lakini alipoanzana nao, mweeeh wasanii wamemtia gundu joketi
 
Jokate alishapoteza muelekeo siku alipoanza ku-opt kutoka na celebrities wenzake!! It's like alikuwa anawaona akina Wema wanafaidi!!
Na akaona Ku date nao ni kiki tosha kumbe ni kujishushia heshima yake to zero sasa kiba mwenyewe anavomzalilisha hadi familia kumkana loh
 
Ila DB tuache masihara na tuweke ushabiki pembeni!! Hiki kilichotokea nilifahamu from day one kwamba it's a matter of time!! Kiba kakosea sana kutoka na Seven... anyway, I love Seven, she's sexy and beautiful!! Naipenda ile midomo yake iliyokaa kishari shari!!! Hata mimi ningekuwa ndo Kiba, huenda nisingemwacha! Unamwachaje Seven?! Ili upate thawabu kwa Mungu; au?!

But all in all, unapochanganya kazi na mapenzi; haya yaliyotokea lazima yatokee...!!!
Kiba mwenyewe namuona hakutumia busara walah nilikuwa namwona wa maana kumbe hamnazo, yani manager na mapenzi wapi na wapi hawa ukute walikuwa wananjunjana long time sema ndo wameonyesha live, mapenzi na kazi hayaendi ngoja kiba achepuke.
 
Iwe kubwa ndogo ya punda Mimi napenda kufikishwa, kupendwa na kujaliwa ndo silaha kubwa za maangamizi kwangu.
Jipende mwenyewe kwenda huko, kila mtu na maisha yake hamkuzaliwa tumbo moja, Tafuta pesa yako Jipende mwenyewe
 
Kwa kweli jokate needs to change hata GPA yake nzuri tu sasa haeleweki Mara aguse hichi hakimalizi, umaarufu ungekuwa platform yake nzuri tu kufanya ya maana, IPO siku atakuja kujuta kwa kutumika hovyo na wanaume wasio na mbele wala nyuma.
Na ulicheko jokate katokea familia bora...ukoo wao karibu wote wakp njema...sasa yy ndio hovyo hovyo..anamtia aibu shangaz yake jenister
 
Na ulicheko jokate katokea familia bora...ukoo wao karibu wote wakp njema...sasa yy ndio hovyo hovyo..anamtia aibu shangaz yake jenister
Ipo siku atakumbuka shuka kumekucha tayari, ndo hasara ya kuchaganya ya dunia na church, imagine from kuimba kwaya had kukimbizana na wa bongo fleva
 
Jojo alikosea kudate na hivi vimtu
Ni kajingaaa

Kama kangeendelea na tabia zake nzuri za shule sasa hivi angekua meneja wa mradi fulani au hata benk fulani....wenzie alosoma nao loyola na st antony wako mbaliiiiiii....kazi nzuri...na kuolewa wameolewa...mwache auze sura na kina kibakuli....
anafanya mpk zari anawabebea madili ya town..na wao wapo
 
Jipende mwenyewe kwenda huko, kila mtu na maisha yake hamkuzaliwa tumbo moja, Tafuta pesa yako Jipende mwenyewe
Mkuu mbona povu hivo siungepita tu kimya it seems uko stressed sio kwa povu hili Walahh!!
 
Ila DB tuache masihara na tuweke ushabiki pembeni!! Hiki kilichotokea nilifahamu from day one kwamba it's a matter of time!! Kiba kakosea sana kutoka na Seven... anyway, I love Seven, she's sexy and beautiful!! Naipenda ile midomo yake iliyokaa kishari shari!!! Hata mimi ningekuwa ndo Kiba, huenda nisingemwacha! Unamwachaje Seven?! Ili upate thawabu kwa Mungu; au?!

But all in all, unapochanganya kazi na mapenzi; haya yaliyotokea lazima yatokee...!!!
Jua lishazama kwa seven ht ndoa ya talaka km jd hajapata....mchaga yule naona kachagua sana mpk kakosa wa kumuoa ss hivi anabaka kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jua lishazama kwa seven ht ndoa ya talaka km jd hajapata....mchaga yule naona kachagua sana mpk kakosa wa kumuoa ss hivi anabaka kiba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyu kiba naye loh had manager wala kanishinda tabia. Seven ni mdada mrembo inaonyesha wa long ila naye inaonyesha aliendekeza kula ujana na kusahau kuhusu family issues.
 
Halafu yupo wapi huyu?! That's my beautiful girl of all time...!!
Huyo ana kampuni yake, ya Portal Noveli, sashiv katulia na kazi na familia yake. Huwa anapost vitu vya maana sana (very educational) kwenye instgram yake.
 
Back
Top Bottom