Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

Hujui mkataba maana wewe unawaza makubaliano ndio mkataba,rudi shule uache ujinga

USSR
Bunge siku hizi linajadili makubaliano? Na hayo makubaliano yanakuja kutengua sheria za nchi zitungwe upya?
Nyie 526 wa Law school hamtutishi tunawajua.
 
Kama kuna Mtanganyika haoni upuuzi wa mkataba huu basi Huyo ni wa kuonea huruma.
 
Umeandika Kama vile hauna kichwa.

Hao uliowataja ni maaskofu??
 
Una uwezo mdogo sana kichwani
 
Kwaio hio msamaha ni kwa maaskofu tu masheik haiwahusu? wawekezaji wa migodi haiwahusu?
Na Tangu lini bandari wakatoa msamaha wa kodi?
Hoja za vyeti feki hizi, jitu halijui na halijui km halijui. watu mnapenda sana kujidhalilisha na kujionesha mlivyo empty kichwani.
 
Shule zinazomilikiwa na kanisa ni gharama sana hazina msaada wowote kwenye jamii
Unajua kuwa shule nyingi za serikali hasa kongwe zilikuwa mali ya taasisi za dini? Mimi katika kijiji changu kuna shule za mwingi sita. Kati ya hizo ni moja tu ambayo ilijengwa na serikali

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
SUALA LA UCHOCHORO KUFUNGIKA LINA UMIZA SANA WAPIGAJI AMBAO HUTUMIA MLANGO WA DINI KUINGIZA BIASHARA ZAO,SEREKALI YETU IFUMBE MACHO IKAZIE MSIMAMO WAKE MLEMLE.
Hii imo kwenye ripoti ya saji.?.
Je wamenufaika kwakiwango gani mpaka sasa. Hivi una maana hata Kodi pia watakadiria? I mean TRA nayo imo maana wao ndio wamepewa mamlaka ya kutoa misamaha.
 
Kwani Hospital wanatoa huduma bure? si wanalipia kama issue Hospital basi na Private Hosp wapitishe tu si wanatoa huduma na shule binafsi si wanatoa huduma. Kichochoro cha taasisi nyingi tu na sisemi makanisa tu hata waislamu watu wanapita humo humo kusingizia dini.
 
Unafahamu kwanini mpaka sasa mifumo ya tehama haisomani?
 
Kwani kodi pia inahusika kwenye hili?
 
Hata wewe unaamini kuwa misamaha ya kodi itaondolewa na DPW? Kwamba hujui kabisa misamaha ya kodi ni swala la TRA na si Bandari.Mkuu acha basi kujitoa ufahamu kiasi hiki.
Kodi ni TRA ila kule ndio wanafake makaratasi mzigo wa nguo watasema viberiti. Bandarini watu wana fake ndio maana container likitoka tu bandarini nilianza kufukuzwa mtaani sababu wanajuwa michezo ya bandarini, unaambiwa fungua tuone hawataki makaratasi sababu wanajuwa upigaji mkubwa. Hivi ujiulizi kwanini wanayafukuza ma container Kariakoo na likitoka bandarini tu. Ni kwa maana upigaji unajulikana.
 
Unajua process za utoaji mizigo kweli?. Naona unajikanyaga.
 
Taasisi zote za dini zina msamaha wa kodi ,kwahiyo makanisa tu yanaingiza bidhaa au magari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…