Povu la Maaskofu kuhusu mkataba wa bandari ni kuondolewa kwa uchochoro wa kupiga pesa

Hujui mkataba maana wewe unawaza makubaliano ndio mkataba,rudi shule uache ujinga

USSR
Bunge siku hizi linajadili makubaliano? Na hayo makubaliano yanakuja kutengua sheria za nchi zitungwe upya?
Nyie 526 wa Law school hamtutishi tunawajua.
 
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.

Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.

Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu

Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.

USSR
Kama kuna Mtanganyika haoni upuuzi wa mkataba huu basi Huyo ni wa kuonea huruma.
 
Umeandika Kama vile hauna kichwa.

Hao uliowataja ni maaskofu??
 
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.

Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.

Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu

Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.

USSR
Una uwezo mdogo sana kichwani
 
Kwaio hio msamaha ni kwa maaskofu tu masheik haiwahusu? wawekezaji wa migodi haiwahusu?
Na Tangu lini bandari wakatoa msamaha wa kodi?
Hoja za vyeti feki hizi, jitu halijui na halijui km halijui. watu mnapenda sana kujidhalilisha na kujionesha mlivyo empty kichwani.
 
Shule zinazomilikiwa na kanisa ni gharama sana hazina msaada wowote kwenye jamii
Unajua kuwa shule nyingi za serikali hasa kongwe zilikuwa mali ya taasisi za dini? Mimi katika kijiji changu kuna shule za mwingi sita. Kati ya hizo ni moja tu ambayo ilijengwa na serikali

Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
 
SUALA LA UCHOCHORO KUFUNGIKA LINA UMIZA SANA WAPIGAJI AMBAO HUTUMIA MLANGO WA DINI KUINGIZA BIASHARA ZAO,SEREKALI YETU IFUMBE MACHO IKAZIE MSIMAMO WAKE MLEMLE.
Hii imo kwenye ripoti ya saji.?.
Je wamenufaika kwakiwango gani mpaka sasa. Hivi una maana hata Kodi pia watakadiria? I mean TRA nayo imo maana wao ndio wamepewa mamlaka ya kutoa misamaha.
 
Mashirika ya dini au makanisa hayakukataa kulipa kodi ,walikaa na serikali,wakaieleza serikali ikawaelewa ,Kwa huduma wanazitoa Kwa jamii, mfano: hosp, mashule hata vyuo vya kati na vya juu, ndiyo wanaopata huduma huko wanachangia na gharama zao siyo kubwa kama sector zingine za binafsi.

Kwa Mimi wanaweza tu kulipa kodi, ili misamaha isiwe kufuri la kuwafunga watumishi hao wa Mungu kuksema au kutoa maoni yao. Yesu alilipa Kodi kwa nini hao wasilipe ? Walipe tu kama serikali itaona yafaa walipe.
Kwani Hospital wanatoa huduma bure? si wanalipia kama issue Hospital basi na Private Hosp wapitishe tu si wanatoa huduma na shule binafsi si wanatoa huduma. Kichochoro cha taasisi nyingi tu na sisemi makanisa tu hata waislamu watu wanapita humo humo kusingizia dini.
 
Huo ni uongo na upuuzi wa hali ya juu. Msamaha ya kodi ipo kwa mujibu wa sheria, hata akiwa DPW pale bandarini misamaha itakuwepo tu.

Kinachopingwa na watu wote wenye nia njema sio uwekezaji wa DPW au mwekezaji mwingine yeyote, bali ni mkataba wa kipumbavu kabisa ulisainiwa na serikali na kupitishwa na bunge kwa azimio. Ni mkataba wa hovyo, wa kijinga na kipumbavu kabisa.
Unafahamu kwanini mpaka sasa mifumo ya tehama haisomani?
 
Kwani Hospital wanatoa huduma bure? si wanalipia kama issue Hospital basi na Private Hosp wapitishe tu si wanatoa huduma na shule binafsi si wanatoa huduma. Kichochoro cha taasisi nyingi tu na sisemi makanisa tu hata waislamu watu wanapita humo humo kusingizia dini.
Kwani kodi pia inahusika kwenye hili?
 
Hata wewe unaamini kuwa misamaha ya kodi itaondolewa na DPW? Kwamba hujui kabisa misamaha ya kodi ni swala la TRA na si Bandari.Mkuu acha basi kujitoa ufahamu kiasi hiki.
Kodi ni TRA ila kule ndio wanafake makaratasi mzigo wa nguo watasema viberiti. Bandarini watu wana fake ndio maana container likitoka tu bandarini nilianza kufukuzwa mtaani sababu wanajuwa michezo ya bandarini, unaambiwa fungua tuone hawataki makaratasi sababu wanajuwa upigaji mkubwa. Hivi ujiulizi kwanini wanayafukuza ma container Kariakoo na likitoka bandarini tu. Ni kwa maana upigaji unajulikana.
 
Unajua process za utoaji mizigo kweli?. Naona unajikanyaga.
 
Maaskofu wengi hutumia punguzo au misamaha ya Kodi kupitisha madili yao kwa kisingizio cha makanisa au taasisi zilizoanzishwa kupiga dili kupitia misamaha hiyo wakiagiza huangiza na zao binfsi na watu wao au biashara zao nje ya kanisa.

Ukiona kina Munga, Slaa, Kikaini na wengine wanapiga kelele usifikirie eti wanakupigania wewe wanapigania kanisa na matumbo yao, hakuna mwenye machungu na wewe hapa Rais Samia kawapiga KO.

Ingekuwa ni ishu za umma hasa kanisa wasinge kuja hivi maana michango ya makanisa ya Sasa pesa ipo tu

Rais Samia kwa TCCL, ATCL na kote tunakoibiwa tumalize wezi maana kama ni kufunga Watanzania ni wezi wataishia magereza.

USSR
Taasisi zote za dini zina msamaha wa kodi ,kwahiyo makanisa tu yanaingiza bidhaa au magari!
 
Back
Top Bottom