OkHuyu power alikuwa anapenda kuja shuleni kwetu UKOMBOZI shule ya msingi miaka ya 86,87
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OkHuyu power alikuwa anapenda kuja shuleni kwetu UKOMBOZI shule ya msingi miaka ya 86,87
inshu sio kuwa msukuma kwani ata Mkoa wa Mara maeneo ya Bunda wapo wasukuma wazawa wengi tu.Ni vyema ungesema ni msukuma wa wapi?Hapana X-P hakua mtu wa msoma alikua msukuma, naskia alikuja kuokoka yeye na mwingine alikua anaitwa power Mwasekaga kitu kama hicho.
Hawa jamaa walitakiwa wawekwe kwenye kipindi cha Believe it or No cha AXN.
Kama haya matukio ni ya miaka ya 90 basi kupata picha ni ngumu aisee.. kipindi hicho kupiga picha ni anasa tehWekeni hata picha basi ili angalau na wengine tuvute picha kulingana na stories.
ni kweli ,lakini baadhi ya matukio walichukuliwa cameraman toka studio kupiga picha kwenye matukio aya.Kama haya matukio ni ya miaka ya 90 basi kupata picha ni ngumu aisee.. kipindi hicho kupiga picha ni anasa teh
Unachanganya mambo aise...Mabula ni mwingine na huyo anayeimba ni mwingine, huyo aliitwa KABABA YEE...mwisho wa siku asilimia themanini ya show mnaimbishwa na vitendo ni asilimia ishirini tu....jamaa alikuwa clever sana...alikuwa mwembaba, nadhani kuliko Mapower wote wa wakati wake....na kama sikosei alikuwa mwenyeji wa Tanga.Dah nimetafutaga sana historia ya huyu power mabula..tulikuwaga tukiimba enzi hizo "Kababa ninyanyue nyanyu...nyanyuaaaaa,,kababa nibebeeebebe .....beeba""
kababa yeeeeh yeeeeeee,kababa yiii yiiiii
Ilikua raha sana,Mara ya mwisho nlimuonaga Makumira Sec alifunga unywele wake kwenye pikipiki aina ya honda,akaweka ngita hakika pikipiki haikusogea...na mambo mengine mengi...daah
Kama haya matukio ni ya miaka ya 90 basi kupata picha ni ngumu aisee.. kipindi hicho kupiga picha ni anasa teh
Hapo alikuwa anakupa washawasha,kam home jirani.mwenyewe utakwenda kulia upate shilingi kumiNa shule zilikuwa zinawaruhusu kuja mashureni.. Basi akija kengere inagongwa mnaenda mstalini anawaonyesha mambo mawili anawambia tuonane baadae
Thread kama hii ni nzuri sana, unakumbuka matukio na enzi za wakati huo, namkumbuka pia Power Jabir Computer a.k.a Kababayee ulikuwa ukiambiwa atakuja shuleni chunga sana kalamu na vitabu, mtu akikuibia anaviuza japo apate shilingi 5 ya kuingilia kwenye maonesho na nyimbo zake zile ''misumri nilalielalie'' watu ''lalia''
Huyu kababayee makazi yake yalikuwa Moshi.kuna jamaa anaitwa kababayee nae alikuwa noma sana.
hakukua na ulazima wa kutia hicho kizungu chako cha kukariri kwenye movieAisee huyu jamaa alivuma sana miaka ya 80 but sadly I never got to see him. Kulikuwepo na story kibao kuhusu uwezo wake wa nguvu za misuri, mambo kibao yaliongelewa, mfano:
-- Alikuwa anaweza kunywa kreti nzima ya soda kwa mkupuo
-- Alikuwa anaweza kutegesha kifua na tairi la nyuma la trekta kupita bila kuumia
-- Alikuwa anaweza kuvuta lorry lenye shehena kubwa kwa kutumia nywele
-- n.k.
Were these just a bunch of childish myths kutufanya tukimbie mchakamchaka na kuwahi namba shuleni or was there a grain of truth in them? Tafadhali sana naomba wale waliobahatika kuyaona maonesho ya jamaa watupatie ushuhuda hapa.
Pia naomba kuuliza, je yuko wapi siku hizi, kuna mwenye picha? Bado yupo, au..??
Akhsanteni!!
Hii Michezo ya viini macho imepotea kabisa kwenye kizazi cha dot com.kuna jamaa anaitwa kababayee nae alikuwa noma sana.