PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Jamaa anapiga kazi KWELI kweli
 
Nimeelewa kumbe wamefanya mazungumzo, ni vizuri kuwa na mazungumzo.
Hizo reli zajuu ndio zinakuwaje maana pale posta hata mradi wa mabasi yaendayo kasi haujakamilika,
Mambo ni dabo dabo
Wahuni wanatafuta kupiga kabla muda wao haujaisha
 
Wafaransa wanajua kuhonga visuti, travota na viperfyum vya PARIS.

Unakuta tawala linakenua meno tu kama ngiri
 
Nzuri hii
 
Huu ni usanii mkubwa mazungumzo Gani ambayo hayasemi wanaanza lini kujenga hapa kafulila anajifanyia Promo kwa Mama si unajua mwaka wa uchaguzi huu.
 
Hivi mitambo ya dowans,na songas imeishakuwa ya serikali? au bado kuna mchakato wa mazungumzo unaendelea
 
Duh Ccm wameiweka kwenye ilani yao nikajua watajenga kwa pesa zetu kumbe ni mradi wa watu
 
Kila kitu Dar! Sie watu wa Ngara tukalime 😂
 
Haya yanapangwa wakati mradi wa mabasi ya mwendokasi ukiendelea kujifia taratibu kwa kukosa usimamizi habit, I ain’t supporting this shit until some reforms are done.
NO REFORMS NO ELECTIONS.
 
Wazee wa 10% wanatafuta upenyo wa mgao.
Hudhuria ibada katika kanisa la Kigango, Parokia au jimbo lolote lililo karibu na wewe ili uweze kuchota neema na baraka za Bwana Wetu Yesu kristu

Leo ni siku ya Pentecost, sisi wakatoliki tunaadhimisha ibada maalumu ya kumpokea Roho Mtakatifu kama tulivyoahidiwa na Bwana na Mwokozi wetu Yesu Kristu kwamba atatuletea msaidizi na roho ya kutuelekeza kuenenda katika njia iliyo ya kweli. Tunawakaribisha Watz wote muungane nasi katika kuienzi siku hii maalumu. Amina
 
Wazungu waache ujinga. Reri zinajengwa chini ya ardhi (kama huko kwao) na sio juu ya ardhi! Juu ya ardhi kazi yake ni kujenga maghorofa tu! Kujenga reli juu ya ardhi ni uchafuzi wa mazingira na ni kuziba nafasi ya kufanya miradi mingine mikubwa mingi ya maendeleo yakiwemo hayo maghorofa makubwa. Kwao wazungu hata nguzo za umeme hazipo bali nyaya za umeme zinapitishwa chini ya ardhi. Wakome kutumia umbumbumbu wa viongozi wetu kutuharibia Jiji.
 
Wajenge hata treni za kuzimu hatuwataki tumechoka!
 
Haya ndio mambo ya msingi ya kujadili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…