PPPTZ: Kampuni ya Kifaransa ya ALSTOM kujenga reli za juu kutoka Posta mpaka magomeni kwenda mlimani City kisha Tegeta

Wanaanza kujenga lini hiyo!
 
Isipite mahali ambapo DART wanapia
 
Samia Mitano tena
 
Matumaini mengine ,serikali ni chombo cha kugawa matumaini,.hapa wanatupanga tena
 
Hoja za Kafulila zinauelekeo wa Kitaifa zaidi sio hoja zinazodhalilisha au kutweza utu wa mtu yoyote Kwa kifupi Kafulila anafanya kazi ya kutukuka na nashauri aongezewe ulinzi
 
Kazi nzuri sana PPP sijui kwanini idara nyingine ziko kimya
 
Tuliambiwa kuna barabara njia 6 kutoka Kibaha hadi Tunduma ili kupunguza ajali na foreni hadi kufikia 2025,Sijui imefikia wapi, watanganyika tumekuwa wajinga kila kinachosemwa tunashangilia tu,hatuwezi kuoji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…