Precision Air, ndege yenu namba PW 417 inatoa mlio wakati wa kushusha matairi

Ndege za zamani hiyo milio ni ya kawaida. Hizi za kisasa hakuna million
 
Vipi mkiwa angani...haijapiga kelele kama mko rough road?
Hizo ndege zao zimechoka sana, siku hizi naziogopa sana
Hiyo hali inaitwa turbulance,ni jambo la kawaida wala haihusiani na Ndege kuchoka,hiyo hutokea pale air inapokua inapush against clouds,ni matokeo ya turbulance,ndio maana kuna wakati abiria huambiwa kufunga mikanda hata kama mpo kwenye altitude,turbulance inaweza hata kuwatupa abiria chini kutoka kwenye viti vyao kama hawakufunga seat belt.
 
Nilikujibu kutokana na maelezo yako ya huko juu,na jibu langu ni sahihi kabisa,pia maelezo yangu ni sahihi kutokana na comment yako 46# hayo mambo ya kupande ndege miaka sijui 22 wala hakuna umuhimu kwa mimi kujua hilo,

Tatizo lako umetafsiri kama vile umedharaulika,hivyo naona umejikoki kubishana au unajitutumua usionekane kua upo nyuma,

Narudia tena,nimekujibu kutokana na maelezo yako ya comment 46# that's all,the rest it's up to you.
 
Nawe pia hujiamini, mtu akiongea ukweli unaona anajitutumua.

Wewe ni aina ya watu wa humu mtu akitaja ana gari unaona anajitutumua, haya ni mambo madogo sana acha roho kutu.

Ilikuwa lazima nitoe ufafanuzi ili ujue kuwa najua nikisemacho.

Kupanda ndege ni sawa na kupanda daladala, mwisho wa siku wote ni usafiri tu
 
Unazidi tu kujionyesha jinsi ulivyo mpumbavu,hii wala haikua issue ya unayoyaandika hapa,ni wapi nimekwambia kua na Gari ni kujitutumua? Najua umejiona mjinga baada ya mimi kukufahamisha kuhusu turbulance.
 
Uwe unapanda gari kama Mimi zile za hakuna kulala
Umenkumbusha mbali enzi za ujana wangu, tunataka kwenda club hela ya tax usiku hatuna basi tunasubiri daladala za mwisho kabisa ndio tunatoka nazo pale chuo, tulikua tunaziita "ngorika ya mwisho" yani unapiga kibukta fresh na kitop swafi kabisa halafu wasubiria ngorika ya mwisho πŸ™„
 
Mleta mada ni mshamba na pia ni limbukeni flani hivi,
lengo la thd wala sio kujua hicho alichouliza,

Endelea kupanda Ndege kisha utakuja kuona kua ni usafiri wa kawaida tu na wala hutakua unajiulizisha maswali ya kitoto na kijinga hapa.
Wewe jamaa ni mtu masikini sana na utaendelea hivyo kwasababu akili yako imefubaa na umeshajiwekea vikwazo.
 
Binafsi nikiskia precision kama nakaona kale kapicha ka swala pale ziwani bukoba..nakumbuka ile ajali ya ndege cruise ujinga huu utanitoka lini
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…