Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Wale ambao hatujawahi kupanda tusome comments tu kuepusha mjadala mrefu 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndege za zamani hiyo milio ni ya kawaida. Hizi za kisasa hakuna millionJana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
Nilikaa maeneo ya karibu na injini ilipo na niliusikia ule mlio wa paaah wakati tunatua KIA na vilevile wakati tunatua Nyerere airport.
Pengine ni kitu cha kawaida mimi ndio sifahamu ila kama ni hitilafu basi iangaliwe kabla haijatokea matairi kugoma kushuka.
Hiyo hali inaitwa turbulance,ni jambo la kawaida wala haihusiani na Ndege kuchoka,hiyo hutokea pale air inapokua inapush against clouds,ni matokeo ya turbulance,ndio maana kuna wakati abiria huambiwa kufunga mikanda hata kama mpo kwenye altitude,turbulance inaweza hata kuwatupa abiria chini kutoka kwenye viti vyao kama hawakufunga seat belt.Vipi mkiwa angani...haijapiga kelele kama mko rough road?
Hizo ndege zao zimechoka sana, siku hizi naziogopa sana
Nilikujibu kutokana na maelezo yako ya huko juu,na jibu langu ni sahihi kabisa,pia maelezo yangu ni sahihi kutokana na comment yako 46# hayo mambo ya kupande ndege miaka sijui 22 wala hakuna umuhimu kwa mimi kujua hilo,Braza ninafahsmu sana air tubulance.
Nina uzoefu wa miaka 22 ya kupanda ndege ndani na nje ya nchi.
Suala la precision air ni uchakavu, hata zinapokuwa runway zinapiga krlele sana kama vile lori lililochoka...sio zote ni baadhi, hivyo ninaloongea nalijua.
Kipindi cha miaka kama mitano nyuma zilikuwa vizuri sana lakini kwasasa ni chakavu.
Kila mara zinachelewa kuondoka mara nyingi zipo kwa marekebisho madogo madogo.
Ukweli ni kwamba hilo shirika kwasasa linayumba sana sio kidogo
Nawe pia hujiamini, mtu akiongea ukweli unaona anajitutumua.Nilikujibu kutokana na maelezo yako ya huko juu,na jibu langu ni sahihi kabisa,pia maelezo yangu ni sahihi kutokana na comment yako 46# hayo mambo ya kupande ndege miaka sijui 22 wala hakuna umuhimu kwa mimi kujua hilo,
Tatizo lako umetafsiri kama vile umedharaulika,hivyo naona umejikoki kubishana au unajitutumua usionekane kua upo nyuma,
Narudia tena,nimekujibu kutokana na maelezo yako ya comment 46# that's all,the rest it's up to you.
Unazidi tu kujionyesha jinsi ulivyo mpumbavu,hii wala haikua issue ya unayoyaandika hapa,ni wapi nimekwambia kua na Gari ni kujitutumua? Najua umejiona mjinga baada ya mimi kukufahamisha kuhusu turbulance.Nawe pia hujiamini, mtu akiongea ukweli unaona anajitutumua.
Wewe ni aina ya watu wa humu mtu akitaja ana gari unaona anajitutumua, haya ni mambo madogo sana acha roho kutu.
Ilikuwa lazima nitoe ufafanuzi ili ujue kuwa najua nikisemacho.
Kupanda ndege ni sawa na kupanda daladala, mwisho wa siku wote ni usafiri tu
Kajifundishe kuandika kwanza kisha njoo tena ukiwa na akili timamu.Bahati mbaya pia guhawahi kywa na akili, na hujuagi hilo
Namba yake haipatikaniFanya kumtafuta umsikilize
Umenkumbusha mbali enzi za ujana wangu, tunataka kwenda club hela ya tax usiku hatuna basi tunasubiri daladala za mwisho kabisa ndio tunatoka nazo pale chuo, tulikua tunaziita "ngorika ya mwisho" yani unapiga kibukta fresh na kitop swafi kabisa halafu wasubiria ngorika ya mwisho 🙄Uwe unapanda gari kama Mimi zile za hakuna kulala
Wewe jamaa ni mtu masikini sana na utaendelea hivyo kwasababu akili yako imefubaa na umeshajiwekea vikwazo.Mleta mada ni mshamba na pia ni limbukeni flani hivi,
lengo la thd wala sio kujua hicho alichouliza,
Endelea kupanda Ndege kisha utakuja kuona kua ni usafiri wa kawaida tu na wala hutakua unajiulizisha maswali ya kitoto na kijinga hapa.
Umezingua.Jana (2 Nov) nimesafiri kutoka Mwanza na ndege hiyo kuja Dar kupitia KIA. Pale mwanza tulichelewa kwa zaidi ya saa zima, badala ya 12:55pm tuliondoka around 14:10pm.
😂😂😂😂Umenkumbusha mbali enzi za ujana wangu, tunataka kwenda club hela ya tax usiku hatuna basi tunasubiri daladala za mwisho kabisa ndio tunatoka nazo pale chuo, tulikua tunaziita "ngorika ya mwisho" yani unapiga kibukta fresh na kitop swafi kabisa halafu wasubiria ngorika ya mwisho 🙄
Hakuna kitu 14:10. pmKivipi