vita havijaanza apa bro, hivi ni vita vya tangia 2014, na wakenya ndo walianza, kumekua na mazungumzo mengi lakini hakuna usuluhisho umepatikana, mfano wale madereva wanaopita kwenda kenya haiwezekani wewe kila ukienda ruti moja urudi ufanyiwe kipimo, yawezekana hujui kipimo kikoje, pale usipotoka dam ikaingia kwenye mapafu basi lazima ubaki na kovu kwenye mrija wa chakula kile kipimo kinauma asikwambie mtu, sasa sisi hawataki na kiubindam huwezi kumfanyia mtu ivi because at the end of the day atakufa
-back kwenye mada, nmekwmbia hii vita haijaanza leo, wkumbuka tushaibiwa mpaka mlima? kama hukumbuki basi huezi elewa hii battle inaondelea