ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Korona ikiisha tutarudi mezaniUlipaswa usikitike, pili ufahsmu wao ni waoga wa korona na si vinginevyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Korona ikiisha tutarudi mezaniUlipaswa usikitike, pili ufahsmu wao ni waoga wa korona na si vinginevyo
Poleni kwa corona, sisi Mungu ametuhurumiaKorona ikiisha tutarudi mezani
Huyu mpumbavu wa kenya asitusumbue1. Unaonekana ni mkosefu wa adabu. Hujui anaye comment ni nani halafu unwita dogo. Hii inatosha kukuweka katika kundi la wale wasiojua mambo.
2. Hivi unaijua historia ya hizi nchi mbili!? Unajua chanzo cha kuvunjika kwa uhusiano miaka ya 70s.
3. Wewe unafurahia watanzania wakiingia kenya wafungiwe siku 14!? Halafu wao waje kwetu free!?
Ha ha ha hii analysis ni ya kibera. Tanzania hatujazuia raia wa kenya, tumezua ndege tu. The shirika lenye makazi tzania linafuta safari za nairobi siyo za kutoka huko kuja dsm, arusha na Zanzibar. Sasa hapo nani wanapanda ndege kati ya Kenya na tzania?And that weak demand is because Kenyans in Tanzania have all come back so there are no people to carry. Watanzania hawapandangi ndege.
mungu wenu ana matege, Mungu wetu ana nguvu. Tulimwomba, ametujibu. Tanzania if free from covidPoleni kwa corona, sisi Mungu ametuhurumia
Ila unaunga mkono ujinga upi?Funguka macho dogo nchi zetu bado changa kutunishiana misuli ni kuumiza watu wetu.
Mimi sio mkenya lkn siungi mkono ujinga huu
Shirima 51%,KQ 49%.Shirima 48
KQ 41
Others 1
Route za Tanzania, Zanzibar, Rwanda na Burundi zipo palepale
wacha ubishi wa kipuuzi KQ 41, Shirima 42, 8 DSE n 1% other nationalsShirima 51%,KQ 49%.
Tutamalizana 28 oktoba Anza kufunganya virago vyako,buku Saba hupati Tena.Hahahaha, kwanza tumalize hili la ndege ambalo tayari limewazidi nguvu, usijaribu kuvuruga mada, nimekustukia [emoji23][emoji23][emoji23]
Magu yupo yupo sana mpk 2030,mungiki huyo mamluki wenu anajipotezea muda tuHupati Tena buku Saba tutayazima hayo ,,2020 Ni yeye. Mulizani risasi zitaunyamazisha upinzani Ila umepata umaarufu zaidi, kutumia mabillion kutoka kwa mfuko wa umma kujijengea kiwanja Cha ndege kijijini kwako si ufisadi huo? Hebu leta hapa taarifa inayoonyesha ndege za atcl zikiwa na ruti yoyote ya chato , Kama sio yule jamaa wa kujimwambafai mwambafai yeye ndio anaenda huko na ndege ilihali uwanja umejengwa kutumia pesa za umma. Munawaengua wagombea kutoka vyama pinzani kuhuni kihuni eti ndio mshinde? This is 2020 my friend hayo Mambo hatukubali ,majimbo yote ambayo wapinzani wameenguliwa haswa Jimbo la ruangwa Hatutakubali mtu kupita kwa meza hio Ni kunyima wananchi haki Yao ya kikatiba.
Mtanzania sio mchokozi ila ukimchokoza utajua hujui.ni kwanini asilimia kubwa ya watanzania waliopo JF wanapenda shari/ugomvi kati ya Tz na kenya ?
ATCL ilikuwa na route ya Kenya [emoji1139] tangu lini?Sio kazi yetu kazi yetu kuona [emoji205] anajibiwa sawa na swali lake na sio kinyume shenzi , mpaka waseme ATCL tumeiruhusu bila ya kukaa karantini wasijifanye kuzunguka zunguka hapa kuchagua shirika kenye hisa yao inamana wakipanda ndege ambayo wanahisa yao tu korona inakua hamna ? Yaki rombaya na chuki zingine za kitoto
Kula kimber kwa hasira.wacha ubishi wa kipuuzi KQ 41, Shirima 42, 8 DSE n 1 international individuals
Watalii wanaotaka kuja Tanzania watafanya direct booking za kuja huku kupitia mashirika ya ndege mengine kama klm etc. Kwani KQ hao watalii inawatoa ulaya kuwaleta Tanzania au Kenya kuja Tanzania? Pia kuna mashirika mengine yana hizo flight mfano Ethiopia airline, Rwanda air wana ndege ya kuzunguka almost nchi zote za eac. Hii pin ni msiba kwa KQ sababu wakijua haiji Tanzania wazungu ni ngumu tena kuja kuwaaminisha inakuja huku kwetujambo hili halina Afya kwa uchumi wa nchi zote mbili,Watalii waliopo kenya watafikaje Tanzania?Je ni vipi tutawashawishi watalii waliokua na nia ya kutembelea Mombasa,Malindi,Zanzibar,Serengeti na nk..wasicancel route zao.Tunahitaji kufikiri Upya kama huu mgogoro unatusaidia ama la,Kenya ilitaka kutumia Covid -19 Kuharibu image ya Tanzania lakini na sisi tumechagua njia ya sumu ambayo hata sisi inatupata,haina tofauti na kuweka sumu ya panya halafu umeacha ndoo za maji wazi panya akikimbilia humo atakuafa ndio lakini ataacha sumu kwenye maji yako.We have to rethink Again.
Hawa jirani zetu walikua wanasemaga watanzania wako nyoronyoro sana.
Ati hata jambazi la kitanzania likitaka kukuibia linakuomba ".....tafadhali naomba ulale chini nikuibie" [emoji16][emoji16][emoji16]
Ndugu zangu watanzania tuliokua tumehamia Kenya turudi nyumbani kumenogaaaa
Corona itoke wapi Tanzania 🤣🤣🤣🤣Bakini huko huko msituletee Corona