jambo hili halina Afya kwa uchumi wa nchi zote mbili,Watalii waliopo kenya watafikaje Tanzania?Je ni vipi tutawashawishi watalii waliokua na nia ya kutembelea Mombasa,Malindi,Zanzibar,Serengeti na nk..wasicancel route zao.Tunahitaji kufikiri Upya kama huu mgogoro unatusaidia ama la,Kenya ilitaka kutumia Covid -19 Kuharibu image ya Tanzania lakini na sisi tumechagua njia ya sumu ambayo hata sisi inatupata,haina tofauti na kuweka sumu ya panya halafu umeacha ndoo za maji wazi panya akikimbilia humo atakuafa ndio lakini ataacha sumu kwenye maji yako.We have to rethink Again.