ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Hakuna heshima yoyote tutakayoikosa kwa kuwapuuza hawa. Sisi ni superior hilo lipo wazi, historia yetu inatubeba. Hatuna sababu ya kuitafuta heshima. A beast is a beast. Tanzania ni beast of Africa tangu NyerereUkiwa unafikiria faida ya pesa ndani ya muda mfupi unaweza kuwa sawa, ila tunachokitafuta ni heshima kwa nchi yetu na faida za muda mrefu za kiuchumi