Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Mambo haya ya ubabe ni ya kishamba, nyie ni washamba, ungekuwa ni mjanja ungejaribu kuvaa viatu vya Watanzania wanaotegemea huduma za anga kibiashara, wenye mahoteli wanaotegemea wageni toka Kenya na Watanzania wanaofanya biashara Kenya.
Acheni ufala huu sio wakati wa kufurahia migogoro yrnye athari kiuchumi
Acheni ufala huu sio wakati wa kufurahia migogoro yrnye athari kiuchumi
Tunaziba chocho zote za angani,tukitoka huko tunahamia ardhini,work permit kwa mungiki yoyote nataka iwe usd 5000,kama hana hiyo pesa kwao,yan mpaka wanyooke
Mwanaume kutoa milio ya kike unamaanisha nini?
Turudi kwenye mada. Unadhani hiyo itaongeza mapato kwenye kampuni hiyo ya ndege?
Waelewe kuwa Hatutishwi
Tutaisha maisha Yeyote yale
Kuliko Kuendelea kumchekea Adui mwenye Roho mbaya na Wivu
Hahahaha!!! Wakenya watakufa mwaka huu.
MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]