President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

Sijajua .ila nachojua alisusa pia mambo ya harusi.
Emu funguka mkuu tupate maarifa
Akiwa anajiandaa kwa mtihani wa darasa la 12, alitoroka shule kwenda kumuona girlfriend wake. Sina uhakika kama ni Maria Anoitte. Shule ilikuwa ni seminary ya Wakatoliki. Wakati anarudi mapadre walimkamata na adhabu yake iliamuriwa asiende form V kwakua ni mkaidi aende jeshini. Aliumia sana kutokwenda form V wakati Kibeligiji alikijua mno.

Alioa akiwa ofisi wa ngazi ya chini jeshini na mshahara wake wote alimudu kununua sanduku moja la bia ndiyo receptionist na alikuwa bado na usongo na ma padre alipata juoa kanisani
 
Akiwa anajiandaa kwa mtihani wa darasa la 12, alitorika shule kwenda jumuia girlfriend wake. Dina uhakika kama ni Maria Anoitte. Shule ilikuwa ni seminary ya Wakatoliki. Wakati anarudi mapadre walimkamata na adhabu yake iliamuriwa asiende form V kwakua ni mkaidi aende jeshini. Aliumia sana kutokwenda form V wakati Kibeligiji alikijua mno.

Aliona akiwa ofisi wa ngapi ya chini jeshini na mshahara wake wote ili muda kununua sanduku moja la bia ndiyo receptionist na alikuwa bado na usongo na ma padre alipata juoa kanisani
Ooh kumbe ndio hivo.
Kwann tena aliamua kurudi kanisani ?
 
Nimepata picha miaka ile nikiwa mdogo waziri wa mambo ya nje wa Zaire Nguza Karl-i-Bond Mobutu alimuhukumu kifo kumbe ni kwa ajili ya tuhuma za kumtongoza mkewe.Alitaka kumuua kwa risasi ila akaghairi akafanya mipango akamfanya kuwa hanithi.Dhambi inalipwa na mungu kwa dhambi Mobutu naye na utajiri wake alikufa kifo cha aibu akiwa nchini Morocco kwa tatizo la Prostate cancer yaani cancer ya kibofu cha mkojo.Moja ya tamko lenye utata alilowahi kuwatamkia viongozi wake wa chini aliwaambia jamani msiibe mali ya umma lakini hata ukiamua kuiba usibe sana iba kidogo basi usikombe kabisa
 
Kifo kinaogopesha lakini kwa muda mrefu hakutaka kabisa kutumiza jina lake la Joseph
Hakutaka kutumia jina lake kwa sababu katika nchi za kiafrika kuna kitu kiliingia kutokea China yaani cultural revolution yaani mapinduzi ya kiutamaduni.Ndipo viongozi wengi wa kiafrika wakabadili majina yao ya kizungu wakaamua kutumia majina yao ya kienyeji.Huku kwetu raisi wetu alitumia zaidi jina la Nyerere,Malawi Hastings akaitwa Kamuzu Banda Ntembo ya Malawi,Kaunda akaacha kutumia Keneth akajiita Kaunda,Joseph Mobutu akijiita Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga,Raisi Kenyata alikuwa na jina la kizungu akajiita Jomo Kenyata,Kiongozi wetu mmoja wa kisiasa ni marehemu amefariki mwaka jana alikuwa na jina lake la dini akajiita Kingunge Ngombale Mwiru
 
Pamoja na hayo aliamua kuachana na ukristo kabisa. Mapader wa Zaire W alipewa onyo kubatiza watoto na majina ya kizungu
 
Nimepata picha miaka ile nikiwa mdogo waziri wa mambo ya nje wa Zaire Nguza Karl-i-Bond Mobutu alimuhukumu kifo kumbe ni kwa ajili ya tuhuma za kumtongoza mkewe.Alitaka kumuua kwa risasi ila akaghairi akafanya mipango akamfanya kuwa hanithi.Dhambi inalipwa na mungu kwa dhambi Mobutu naye na utajiri wake alikufa kifo cha aibu akiwa nchini Morocco kwa tatizo la Prostate cancer yaani cancer ya kibofu cha mkojo.Moja ya tamko lenye utata alilowahi kuwatamkia viongozi wake wa chini aliwaambia jamani msiibe mali ya umma lakini hata ukiamua kuiba usibe sana iba kidogo basi usikombe kabisa
Ndio, kisa kilikua mwanamke
 
Aliweka visasi sana, waziri wa Elimu Pierre Mulele alikuwa rafiki wa Lumumba, baada ya Lumumba kufariki Mulele alikimbimbilia Brazzaville. Mobutu alimtumia ujumbe kumuomba arudi na aliahidi atampa nafasi ya uongozi. Alivyorudi tu alimkata kidole kimoja baada ya kingine mpaka anakufa.
 
Mobutu seseseko kuku ngwendu wa zabanga wa Zaire

Nyerere alumchukia sana lakini alimkaribisha moshi Kilimanjaro enzi hizo na motorcade
 
Back
Top Bottom