King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Duuuu Jamaa alikuwa mzee wa numba na ngayi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueHii kofia yake ni ngoni ya chui kabisa aliamini akiivaa anaigopewa kama chui
Sijajua .ila nachojua alisusa pia mambo ya harusi.Unafahamu kwanini alisusa Ukatoliki na kuanza kuwa pagani?
Akiwa anajiandaa kwa mtihani wa darasa la 12, alitoroka shule kwenda kumuona girlfriend wake. Sina uhakika kama ni Maria Anoitte. Shule ilikuwa ni seminary ya Wakatoliki. Wakati anarudi mapadre walimkamata na adhabu yake iliamuriwa asiende form V kwakua ni mkaidi aende jeshini. Aliumia sana kutokwenda form V wakati Kibeligiji alikijua mno.Sijajua .ila nachojua alisusa pia mambo ya harusi.
Emu funguka mkuu tupate maarifa
Kwa RDC mnyama chui ,wanamchukulia kuwa ni mtawalaHii kofia yake ni ngozi ya chui kabisa aliamini akiivaa anaigopewa kama chui
True
Ilitengenezwa ufaransa kwa oda maalumu
Unafahamu kwanini alisusa Ukatoliki na kuanza kuwa pagani?
Sijajua .ila nachojua alisusa pia mambo ya harusi.
Emu funguka mkuu tupate maarifa
Ooh kumbe ndio hivo.Akiwa anajiandaa kwa mtihani wa darasa la 12, alitorika shule kwenda jumuia girlfriend wake. Dina uhakika kama ni Maria Anoitte. Shule ilikuwa ni seminary ya Wakatoliki. Wakati anarudi mapadre walimkamata na adhabu yake iliamuriwa asiende form V kwakua ni mkaidi aende jeshini. Aliumia sana kutokwenda form V wakati Kibeligiji alikijua mno.
Aliona akiwa ofisi wa ngapi ya chini jeshini na mshahara wake wote ili muda kununua sanduku moja la bia ndiyo receptionist na alikuwa bado na usongo na ma padre alipata juoa kanisani
Hakutaka kutumia jina lake kwa sababu katika nchi za kiafrika kuna kitu kiliingia kutokea China yaani cultural revolution yaani mapinduzi ya kiutamaduni.Ndipo viongozi wengi wa kiafrika wakabadili majina yao ya kizungu wakaamua kutumia majina yao ya kienyeji.Huku kwetu raisi wetu alitumia zaidi jina la Nyerere,Malawi Hastings akaitwa Kamuzu Banda Ntembo ya Malawi,Kaunda akaacha kutumia Keneth akajiita Kaunda,Joseph Mobutu akijiita Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga,Raisi Kenyata alikuwa na jina la kizungu akajiita Jomo Kenyata,Kiongozi wetu mmoja wa kisiasa ni marehemu amefariki mwaka jana alikuwa na jina lake la dini akajiita Kingunge Ngombale MwiruKifo kinaogopesha lakini kwa muda mrefu hakutaka kabisa kutumiza jina lake la Joseph
Pamoja na hayo aliamua kuachana na ukristo kabisa. Mapader wa Zaire W alipewa onyo kubatiza watoto na majina ya kizunguHakutaka kutumia jina lake kwa sababu katika nchi za kiafrika kuna kitu kiliingia kutokea China yaani cultural revolution yaani mapinduzi ya kiutamaduni.Ndipo viongozi wengi wa kiafrika wakabadili majina yao ya kizungu wakaamua kutumia majina yao ya kienyeji.Huku kwetu raisi wetu alitumia zaidi jina la Nyerere,Malawi Hastings akaitwa Kamuzu Banda Ntembo ya Malawi,Kaunda akaacha kutumia Keneth akajiita Kaunda,Joseph Mobutu akijiita Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga,Raisi Kenyata alikuwa na jina la kizungu akajiita Jomo Kenyata,Kiongozi wetu mmoja wa kisiasa ni marehemu amefariki mwaka jana alikuwa na jina lake la dini akajiita Kingunge Ngombale Mwiru
Ndio, kisa kilikua mwanamkeNimepata picha miaka ile nikiwa mdogo waziri wa mambo ya nje wa Zaire Nguza Karl-i-Bond Mobutu alimuhukumu kifo kumbe ni kwa ajili ya tuhuma za kumtongoza mkewe.Alitaka kumuua kwa risasi ila akaghairi akafanya mipango akamfanya kuwa hanithi.Dhambi inalipwa na mungu kwa dhambi Mobutu naye na utajiri wake alikufa kifo cha aibu akiwa nchini Morocco kwa tatizo la Prostate cancer yaani cancer ya kibofu cha mkojo.Moja ya tamko lenye utata alilowahi kuwatamkia viongozi wake wa chini aliwaambia jamani msiibe mali ya umma lakini hata ukiamua kuiba usibe sana iba kidogo basi usikombe kabisa