Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
picha inaeleza mambo mengi sana hiyo.Yaani kapicha kamoja tu ndio title ya thread unaiita maisha ya mobutu,umetia sana aibu
Nayajua nimekaa Goma mwaka mmoja hivyo nayajua kupitilizaUnajua maisha ya Mzaire wa kawaida?
Bro anazungumzia 1960s , kwa wakati huo hata raisi wa marekani hakuwa na hayo maishaMbona life la kawaida sana hilo cha ajabu kipi
Acheni hizo na sky wako huyo, 1960 ilikuwa term ya mwisho ya Dwight D Eisenhower unamjua vizuri hata story zake?Bro anazungumzia 1960s , kwa wakati huo hata raisi wa marekani hakuwa na hayo maisha
Naanza kuamini mtu akifa roho yake inahamia kwa mtu mwingine anayeishi. Dalili zipo!
Hatuna namna ndio tulivyo wa Africa hata wewe tukikupa ka udiwani tu tutamjua Sky halisi.Queen hata akifanya madili lakini raia wake wanaishi kwenye nyumba nzuri, wanapata matibabu bure, wanapata elimu bila kubagua.
Mobutu aliishi kama mfalme wakati watu wake wanakufa kwa malaria.