President Mobutu Sese Seko of Zaire

President Mobutu Sese Seko of Zaire

1576469221222.jpeg




1576469170148.jpeg

Kitanda chake kilikuwa cha duara



1576473730098.jpeg

Glass na mivinyo yote vilitoka Paris na Brussels
 
Mobutu sese seko kuku ngwendu wazabanga ( Joseph desire Mobutu )
Mimi kilichonishangaza Sana katika maisha yake ni kununua meli ya kumzungusha mto Kongo ( aliita kamanyola)
Kupeleka wachawi wote wa kongo kuloga kwenye mechi dhidi ya ujerumani wakapigwa 9 null
Kwenda kunyoa ubelgiji na kurudi
Kuwaambia Askari kuwa wanalialia shida wakati Wana silaha
Kasri nalo kijijini gwaduleti ,noma sana mshkaji ,vipi kumfunga Franco luambo makiadi na kumtaka afanye kitu Cha kumpendeza jamaa akatunga kibao kikali CANDIDAT NABISO MOBUTU [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Jamaa alizingua kinoma huyu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
‘...Popote ulipo umauti utakukuta hata ukiwa kwenye ngome madhubuti sana...’- Qur an Kareem
 
Bro anazungumzia 1960s , kwa wakati huo hata raisi wa marekani hakuwa na hayo maisha
Acheni hizo na sky wako huyo, 1960 ilikuwa term ya mwisho ya Dwight D Eisenhower unamjua vizuri hata story zake?
1960 hiyohiyo ikawa first term ya John F Kennedy unajua madili yake na Queen wa Uingereza Saudia huko kuna documentary RT wameifanya itafute hakuwa mtu wa kispoti spoti.
.
Alafu mnakuja na propaganda kisa alikuwa dictator basi ndo mabaya yote yake hata kumiliki ndege limekuwa jambo baya, mlitaka awe kama Magufuli au?
 
Queen hata akifanya madili lakini raia wake wanaishi kwenye nyumba nzuri, wanapata matibabu bure, wanapata elimu bila kubagua.

Mobutu aliishi kama mfalme wakati watu wake wanakufa kwa malaria.
Hatuna namna ndio tulivyo wa Africa hata wewe tukikupa ka udiwani tu tutamjua Sky halisi.
 
Back
Top Bottom