Na mkoko wenyewe usiwe wa ovyo preta ajua sana magari hadi aina za injili ubora na udhaifu, mm simoMkuu....
Huyo mtoto ili kum miliki kwanza lazima ukuwe na mkoko 😉. nimewaachia wa mujini aiseeee.....😀
DECEMBER 2017
Duh! Kuna watu wanapenda kudandia!! Baada ya kuona bro Vampire anakaribia kuscore mazombi yanajileta hapa!!
Vamp keep goin on!!
Dah......aisee......kama nahisi kukubali vile.......
Utapigwa dogo.....kucha na meno yako chunga sanaHabari wakuu,
Mimi ni mgeni humu naomba knena. . Sorry nimesahau U hapo kwenye knena. . . Ilitakiwa kuwa kunena, yaani kuongea....
Naomba nitumie fursa hii adhwiim na jukwaa lenu kumtongoza binti mrembo aitwaye Preta ...
Maana pm kwake zipo nyingi kiasi hatapay attention kwangu...Naomba wengine muwe watazamaji ispokuwa kwa anayejijua mtaalam wa kutongoza namruhusu anisaidie...
Preta my love, naomba uwe serious apa uache yale majibu yako yakiboya...
Please, njoo mpnz
Utapigwa dogo.....kucha na meno yako chunga sana
Ha ha aah!!Unakwenda kuyatumia wapi mume wangu?
Preta nikubali usione aibu,
Kuitwa vampire isiwe sababu,
Humu JF kuna mijitu ya ajabu,
Lakini wewe mpenzi ni kama dhahabu
Mimi ni yatima nionee huruma,
Pia ni bikra skuwa na demu uko nyuma,
Kila nkitongoza ilikuwa inabuma,
Lakini kwako mpenzi ntakuwa imara kama chuma..
We ni mzuri, jina lako ni preta,
Nikikupata hapa JF ntapeta
Najua huwezi kunipwerepweta,
Japo snitch wanaponda, na uzushi kuleta
Preta ooooh pretaaaaaa nikubalieeeee
Preta oooh pretaaa usinizingueeee
Kaka umejichanganya kuanza mashairi, huo ni uwanja wangu wa nyumbani!!Wakunipiga bado humu sijamuona,
Atakaejaribu cha mtema kuni atakiona,
hapa mkuu nahisi ulitaka kuandika injini.Na mkoko wenyewe usiwe wa ovyo preta ajua sana magari hadi aina za injili ubora na udhaifu, mm simo
Kaka umejichanganya kuanza mashairi, huo ni uwanja wangu wa nyumbani!!
Au ndio kina Bikira wa kisukuma...Kweli mna moyo aiseeee.....
Kwa hakika mngejua kwamba mwenyewe ni Mwanaume😕
Umetisha mkubwa, subiri majibu ya NECTA😀Uwanja wa nyumbani kwako, haunikoseshi preta
Hebu ishia zako, usilete za kuleta
Kauze mitumba yako, huko sokoni haji Preta
Na hayo mashairi yako, wala hayanipi presha
Preta ni wangu mimi, subiri uone mwisho wa uzi
Atanikubali mimi, hadanganywi na wanuka ushuzi
Mengine hapa sisemi, nasubiri uniuzi
Takupa tungo za semi, mpaka ukose usingizi
Preta nampenda sana, japo sjawai kumwona
Kimpata ntamtunza sana, mtoto apate kunona
Arusha mtalia sana, si tutabaki kuwang'ong'a
Wacha nsiseme sana, dushe lisijesimama
Pretaa oooooh pretaaaaa usimskize Soooooth
Pretaaa oooh pretaaa nipe mavituuuuuuuth
Uwanja wa nyumbani kwako, haunikoseshi preta
Hebu ishia zako, usilete za kuleta
Kauze mitumba yako, huko sokoni haji Preta
Na hayo mashairi yako, wala hayanipi presha
Preta ni wangu mimi, subiri uone mwisho wa uzi
Atanikubali mimi, hadanganywi na wanuka ushuzi
Mengine hapa sisemi, nasubiri uniuzi
Takupa tungo za semi, mpaka ukose usingizi
Preta nampenda sana, japo sjawai kumwona
Kimpata ntamtunza sana, mtoto apate kunona
Arusha mtalia sana, si tutabaki kuwang'ong'a
Wacha nsiseme sana, dushe lisijesimama
Pretaa oooooh pretaaaaa usimskize Soooooth
Pretaaa oooh pretaaa nipe mavituuuuuuuth
Nasikia zenji moto unawakaKubali tu hakuna namna jamaa ameandaa haya mashairi mda mrefu sana. Na unaweza usiyapate jama haya maisha yako yote aisee.
Duc in Altum