Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Don't trust RUSSIA ni wahuni wote Putin na Mwenzake Wa Wagner wamekula mchongo lengo lilikuwa ni Kuwasaka wasaliti ni wakina nani na nani, hii ni fikra na minong'ono!!!!!
KATIKA vita usiamini stori yoyote ya adui yako anatafuta mbinu ya kukuchapa zaidi...IMAGINE sasa kiongozi wa Wagner anasema wao wana rudi kwenye kambi zao baada tu ya kuambiwa watahakikishiwa Ulinzi na Urusi HUU NI UTANI NEXT TIME hamna kuwaamini hawa WAHUNI WOTE wanajuana na hawa wote ni kitu kimoja wahuni sana
 
Kwa wale wanaojua mchezo wa drafti watakuwa wameshajua nini kinaendelea!
Kulalamika Kwa uongo, kutoa kafara Baadhi ya kete huku mlaji akilazimishwa Kula na kuchekelea!
Mwisho unaliwa mbele na nyuma na kingi inakaa katikati!
 
Wagna wangesema waendelee na msafara wao kuelekea moscow jua la kesho asubui wasingeliona walahi maana waliwekewa trap moja mbaya sana yaan wangekufa kwa tabu sana.
Njia nzima waliachwa wapite bila kubughuziwa na mamlaka za kijeshi za Russia, nilitegemea kuona raia wengi wa Russia wakisimama pamoja na waasi ila haikuwa hivyo.

Hiyo inakupa picha gani?
 
Nadhani sijakuelewa.

Yaani atumie nyuklia kupambana na wagner ndani ya ardhi yake? Hizo si zitakuwa akili za punyeto kabisa?
 
Wanadai ni njama za Putin na prigoView attachment 2667683
Na kwann Putin hakumtaja Prigozhin kwenye hotuba yake yote?? Badala yake akawa anasema tu "Muhaini hasamehewi?".


Ni kweli Prigozhin alitaka kabisa kumsaliti rafiki yake wa muda mrefu???.




Ni nani Muhaini? Kwann Putin hakumtaja Moja Kwa Moja ?.
 
Hapa ndio kina cemical Ally wanapotakiwa. Kama kweli walipanga uasi, hawastahili msamaha kabisa. Wasubiriwe wafike kambine kisha wamwagiwe bomu la sumu tumalize hii biashara na wagner ife mazima.

Putin unaniangusha.
 

Source: trust me Bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…