Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Dogo yupi huyo ?Watu waongo pana dogo anasema Moscow hakuna data leo siku nzima wanatembelea mwendo wa VPN tuu hali bado tete wahuni huku mnaongea taarifa zisizo za ukweli...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo yupi huyo ?Watu waongo pana dogo anasema Moscow hakuna data leo siku nzima wanatembelea mwendo wa VPN tuu hali bado tete wahuni huku mnaongea taarifa zisizo za ukweli...
Don't trust RUSSIA ni wahuni wote Putin na Mwenzake Wa Wagner wamekula mchongo lengo lilikuwa ni Kuwasaka wasaliti ni wakina nani na nani, hii ni fikra na minong'ono!!!!!Kitendo alichofanya ni hatari sana na hata kama NATO/USA wakisema wanamuunga mkono,just imagine Russia kama angeamua kutumia nguvu zake zote,ikiwemo silaha za nyuklia ama kutumia washirika wake kutoka Belarus, Chechen, Dagestan etc.
All in all,mwisho wa Prigozhin umefika,amevuka mipaka, suluhu pekee kwake ni kukimbia USA apewe hifadhi ya kisiasa na ukibaraka!!
Unless iwe propaganda.Uasi ni kama sumu huwa haionjwi. Aidha fanya au usijaribu kabisa. Wagnerites are dead men walking.
Kwa wale wanaojua mchezo wa drafti watakuwa wameshajua nini kinaendelea!Asubuhi ya kuamkia leo dunia nzima imekubwa na taharuki baada ya jeshi binafsi la WAGNER lililo chini ya ndigu Prigozhin liliasi na kuvamia mji wa Rostov nchini urusi na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mkoa huo.
Licha ya kutwaa mkoa bado vikosi vyake vilianza kufanya misafara ya kutaka kuelekea Moscow.
Hatimae jioni hii bwana Evgene Prigozhin amekubali kusitisha zoezi hilo(uasi) na Kuna mazungumzo yamefanyika kwa wqpiganaji wake wote kupewa ulinzi na kutochukuliwa hatua yoyote.
Habari hii inaweza kua mbaya kwa mahasimu wa Putin na Russia kwani walishaanza kushehrekea na kujua rasmi Putin ameanguka.
Tusubirie taarifa rasmi!!
View attachment 2667659
View attachment 2667660
Njia nzima waliachwa wapite bila kubughuziwa na mamlaka za kijeshi za Russia, nilitegemea kuona raia wengi wa Russia wakisimama pamoja na waasi ila haikuwa hivyo.Wagna wangesema waendelee na msafara wao kuelekea moscow jua la kesho asubui wasingeliona walahi maana waliwekewa trap moja mbaya sana yaan wangekufa kwa tabu sana.
Dogo gani? Unajifanyaga kila jambo unalijua vyema, acha ujuajiWatu waongo pana dogo anasema Moscow hakuna data leo siku nzima wanatembelea mwendo wa VPN tuu hali bado tete wahuni huku mnaongea taarifa zisizo za ukweli...
Fuatilia kwa umakini,hivi sasa Wagner wanagungasha na kurudi Ukraine kwenye bases walizokuwepo. Rais wa Belarus amehusika sehemu kubwa ya kuongea na Prigozhin.Mbona wanasema Putin ndo kaomba poo
Unazani jeshi lilishundwa kutumia ndeye za kivita kuwawashambulia, kuna kitu hakiko sawaNjia nzima waliachwa wapite bila kubughuziwa na mamlaka za kijeshi za Russia, nilitegemea kuona raia wengi wa Russia wakisimama pamoja na waasi ila haikuwa hivyo.
Hiyo inakupa picha gani?
Nadhani sijakuelewa.Kitendo alichofanya ni hatari sana na hata kama NATO/USA wakisema wanamuunga mkono,just imagine Russia kama angeamua kutumia nguvu zake zote,ikiwemo silaha za nyuklia ama kutumia washirika wake kutoka Belarus, Chechen, Dagestan etc.
All in all,mwisho wa Prigozhin umefika,amevuka mipaka, suluhu pekee kwake ni kukimbia USA apewe hifadhi ya kisiasa na ukibaraka!!
Urusi imekuwa dhaifu, makombora kabatini hayana maana🤣🤣vita ina drama hatari. ila mbona mapema wanakubali yaishe.
Kabisa, pengine hajui nyuklia inafanyaje kazi!..Nadhani sijakuelewa.
Yaani atumie nyuklia kupambana na wagner ndani ya ardhi yake? Hizo si zitakuwa akili za punyeto kabisa?
Na kwann Putin hakumtaja Prigozhin kwenye hotuba yake yote?? Badala yake akawa anasema tu "Muhaini hasamehewi?".Wanadai ni njama za Putin na prigoView attachment 2667683
Ushabiki unalevya sana. Watu wanaichukulia poa nyuklia, hawaoni ikitajwa tu hata kwa mkwara kila mtu makini anastuka na kuchukulia serious.Kabisa, pengine hajui nyuklia inafanyaje kazi!..
Vita ni stratagies na akili, tatizo hollywood movies zimewaharibu mnadhani makombora yanarushwa kama karanga.Urusi imekuwa dhaifu, makombora kabatini hayana maana🤣🤣
We mjinga, unataka watumie nyambizi kupambana na waasi? Mambo mengine unayaacha make yanakuzidi uwezoUrusi imekuwa dhaifu, makombora kabatini hayana maana[emoji1787][emoji1787]
Asubuhi ya kuamkia leo dunia nzima imekubwa na taharuki baada ya jeshi binafsi la WAGNER lililo chini ya ndigu Prigozhin liliasi na kuvamia mji wa Rostov nchini urusi na kutwaa makao makuu ya jeshi katika mkoa huo.
Licha ya kutwaa mkoa bado vikosi vyake vilianza kufanya misafara ya kutaka kuelekea Moscow.
Hatimae jioni hii bwana Evgene Prigozhin amekubali kusitisha zoezi hilo(uasi) na Kuna mazungumzo yamefanyika kwa wqpiganaji wake wote kupewa ulinzi na kutochukuliwa hatua yoyote.
Habari hii inaweza kua mbaya kwa mahasimu wa Putin na Russia kwani walishaanza kushehrekea na kujua rasmi Putin ameanguka.
Miongoni mwa makubaliano ya Prigozhin na serikali ya Moscow ambayo yameratibiwa na raisi wa Belarus (Lukashenko)
1. Waziri wa ulinzi na maafisa kadhaa kujiuzulu( Prigozhin amekua akiwashutumu mara kadhaa kua wanazuia ufanisi wa vita huko Ukraine)
2. Wqpiganaji wote wa WAGNER- PMC kupewa ulinzi dhidi ya hatua za kinidhamu.
3. Prigozhin asilimia kubwa jeshi lake litahuska na masuala ya Afrika hapo baadae,ikumbukwe WAGNER wapo Senegal, Jamhuri ya Afrika ya kati pia!!
View attachment 2667659
Tusubirie taarifa rasmi!!
View attachment 2667659
View attachment 2667660