Prigozhin na Wagner yake asitisha uasi

Hii ya Belarus kuwa msuruhishi mmeitoa wapi? Yaani Prigozin ahitaji msuruhishi wa nje kukubaliana kitu na Putin?
 
Hii ya Belarus kuwa msuruhishi mmeitoa wapi? Yaani Prigozin ahitaji msuruhishi wa nje kukubaliana kitu na Putin?

Mkuu maybe haujawahi kumsoma Alexander Lukashenko,rais wa Belarus uhusiano wake na Putin/Russia.

NB- hivi karibuni baada ya NATO kuwapokea Finland kwenye NATO- Putin alihamishia baadhi ya silaha za nyuklia nchini Belarus,kimkakati zaidi.
 
Dogo gani? Unajifanyaga kila jambo unalijua vyema, acha ujuaji
Tupo kundi la Wasafiri mbona rahisi tuu kama huna connection ndogo tuu hizi usiwe mkali mazee mimi humu nimekutana na watu wengine Nje ya Nchi na wapo humu humu sio ujuaji nilianza mambo ya safari zamani sana na bado naendelea kusafiri...ishu ya Russia tuu unaona ajabu aisee
 
Kwanza MTU mjinga pekee ndio anaweza kuamini ule ulikuwa uasi,kundi hilo la wegner amelianzisha Putin mwenyewe kampa huyo jamaa amabye alikuwa mpishi wake.
 
Mie nimeshangaa!,kumbe wapo weengi kama mchanga[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…