Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

Mbona jamaa wamekabidhiana kiungwana tu? Maana nilikuwa nilipie frem mpya ya wife pale Mugabe last two week mtu tukawa tunasubir atoke
Mwenye nyumba wa zaman akawa amepokea hela ya udalali ila lst week akatukabidhi kwa huyo Mushi kuwa ndo owner mpya na tukasain mkataba na mushi na kumlipa kodi huku hela ya udalali akichukua owner wa zaman
Tena wanaongea vzr tu ndg
 
Kwahiyo hii habari ni upotoshaji mkubwa?
 
Mtu kashindwa kulipa deni nyumba zimechukuliwa alafu wewe hutaki...
Hii dunia ina watu wa ajabu sana.
Halafu sio imechukuliwa na primi bali Bank aliyokopa na huyo Primi kanunua kwa mnada kutoka Bank.
Yani kosa Lake kwanini aliinunua kwenye mnada?
Wale waswahili walikopa wakafanyia umalaya na kununua subaru sasa ni wakati wa kulala kwenye subaru gereji
 
Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani

Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.

Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.
Iyo nyumba Ni kwa kina masu li? Yule msanii wa hip pop
 
Kwahiyo ndani ya dk 60 anakaa sehemu 30 tofauti?

Ndani ya masaa 24 anakaa sehemu 720 tofauti?

Huyo mtu wa aina gani?
Huyo ni primi mushi[emoji23][emoji23][emoji23] kwa mujibu wa mleta uzi
 
Halafu sio imechukuliwa na primi bali Bank aliyokopa na huyo Primi kanunua kwa mnada kutoka Bank.
Yani kosa Lake kwanini aliinunua kwenye mnada?
Wale waswahili walikopa wakafanyia umalaya na kununua subaru sasa ni wakati wa kulala kwenye subaru gereji
Ahahahaaa
 
Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani

Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.

Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.
Hawezi kuwa kichaa
 
wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
Hii kampuni naomba kuijua zaidi, kampuni inamlalamikia mtu mtandaoni kwa threads kadhaa sasa inaenda mbele inataja ka bila fulani, kuna kitu na connect dots
 
Back
Top Bottom