Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

KUNA KITU MTOA MADA HAWEKI WAZI, KUNA TAASISI NA BENKI NYINGI ZIZATOA MIKOPO KWA KWENYE HATI YA MAKAZI AU LESENI YA MAKAZI. MIKOPO YA BENKI SIO YA KWENDA KUANZISHA BIASHARA, NI KUENDELEZA. KWAMBA BIASHARA UNAYO, UNA UZOEFU NAYO,MBINU, MTANDAO, NK.
KUNA WADAU WANAKOPA TENA HUKU WAKIONYESHA NI WAMILIKI WA BAISHARA FLANI, PESA UNAPEWA. HALAFU NDIO UNA ANZA SASA KUFIKIRIA UTAFANYIA NINI. KWANZA NITOE 14M HIVI NINUNUE TOYOTA WISH, GARI LA FAMILIA. ZINAZOBAKI NITAFANYIA HIVI NA VILE.

UKISHINDWA KULIPA BANK, INATANGAZA MNADA.HAPA NDIPO MCHEZO WOTE UPO. KWENYE KUNA TIMU YA WATU 8-10. TUNAJIPANGA KABISA. BEI YA HII ISIZIDI 150M. HIVYO KAMA NYUMBA INA THAMANI YA 400MILION, UNAPEWA MKOPO WA 300MILION. UKISHINDWA INAKUJA KUUZWA KWA 80MILION HIVI. KWAHIYO NI MTANDAO WA WAFANYAKAZI BANKI, WATOZA USHURU,MAHAKAMA(KUMBUKA KUNA MADALALI WA MAHAKAMA).

HIVYO JAMAA YEYE ANACHEZA MCHEZO HALALI.
Ni benki zipi hizo mkuu?
 
Mkuu umesema sahihi kabisa.
Wakopaji wengi wako tayari kuongopa kuonyesha biashara ambayo siyo yake, anaongopa.
Hata afisa akienda kumfanyia assesment ni ngumu kugundua huo uongo.
Wanadhani kuwa na nyumba ndo kigezo cha kupata mkopo, matokeo yake wanafoji biashara n.k ili apate mkopo.
Akishachukuwa mkopo anafanyia matumizi yake na kiasi kidogo kinachobaki anaanzisha biashara uchwara.
Matokeo yake anashindwa kufanya marejesho.
Matokeo yake dhamana yake inauzwa.
Kesi mahakamani anaanza kujitetea ooo sina uwezo wa kulipa, biashara imekufa sijui mie mjane nina watoto wadogo, niliuguwa mwaka mzima.
All in all wakopaji ni muhimu sana muwe wakweli mwanzoni wa mchakato wa mkopo ili ukope kiwango unachoweza kulipa.
Unakuta mtu ameleta maombi ya mkopo million 5 unapoanza kumfanyia mchakato tu anasema ooo huwezi niongozee million 2 ziwe saba.
Unabaki unaona huyu mtu hayuko serious.
Na kwa uchumi wa sasa nyumba nyingi dhamana nyingi zitauzwa na kwa bei chee tu.
 
Mkuu unaamini kabisa mtu anaweza kukuloga ukamuuzia nyumba?

Waafrika bhana mnapenda hadithi za abunuasi Sana.
Ni Sawa na Mtu anayeamini kwenye kuomba Mungu zaidi ya kufanya kazi na kutumia Akili.

Ila ni kawaida Watu wazembe na wavivu wa kufikiri kuamini mambo ya Uchawi na miujiza
We hujui dunia ,kaa kimnya dogo
 
Mkuu, imagine haya mambo umeyaandika wewe...

1. Hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima.

Ananunuaje nyumba "kwa lazima" ?

2. Pia anatafuta familia isiyo na msimamo "anawaloga" na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..

Yaani unarogwa hadi unauza nyumba ?
Kwahiyo waliomuuzia nyumba ndio walikwambia kwamba wamerogwa ndipo wakauza hizo nyumba ?
Au ni wewe tu mwenyewe ndio uligundua kwamba hawa jamaa wamwerogwa ndio maana wameuza nyumba ? Kama hivi ndivyo (uligundua mwenyewe), wewe ulijuaje (how) ?

Mengineyo:
A. Hakuna ubaya wala hakuna kosa lolote "kuwarubuni" watu wazima na wenye akili timamu (kwa vipesa vidogo vidogo au kwa namna yoyote ile) na wakakubali kukuuzia nyumba (as long as wamekuuzia, hukuwapora wala kuwanyang'anya).

B. Hakuna ubaya wala kosa lolote Kununua kila nyumba inayouzwa Sinza (au sehemu nyingine yoyote).
Tatizo anadhulumu wajane na mayatima kwa kuwapa pesa mbuzi kutokana na shida zao, Kama ana ela si awape mpunga mrefu, au akaanzishe mji wake huko
 
Loo kimboli kadhulumu sana watu ...Almanusura wamuue...naishia hapa...ila primi sizan...Tumbo Tumbo ni mafia zaid...yule jamaa akiona mauza uza Tz anakimbilia Congo na kule ana ussue zake za madini..kuna kipindi TRA walimletea noma ya pesa mingi kuwa anazikwepa...hakuamin caz alisikia kama tetes gafla na barua ikatua ofisin kwake...akachukua konyagi kubwa akagugua alivyo imaliza huyoo...congo.. ila hawa jamaa wanaishi kwa stress kubwa sana
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
 
wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
Sema una ka wivu flani hivi!!
 
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutakuja kuwapangisha kwenye nyumba walizojenga wenyewe
 
Hapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,

Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?

Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..

Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
 
KUNA KITU MTOA MADA HAWEKI WAZI, KUNA TAASISI NA BENKI NYINGI ZIZATOA MIKOPO KWA KWENYE HATI YA MAKAZI AU LESENI YA MAKAZI. MIKOPO YA BENKI SIO YA KWENDA KUANZISHA BIASHARA, NI KUENDELEZA. KWAMBA BIASHARA UNAYO, UNA UZOEFU NAYO,MBINU, MTANDAO, NK.
KUNA WADAU WANAKOPA TENA HUKU WAKIONYESHA NI WAMILIKI WA BAISHARA FLANI, PESA UNAPEWA. HALAFU NDIO UNA ANZA SASA KUFIKIRIA UTAFANYIA NINI. KWANZA NITOE 14M HIVI NINUNUE TOYOTA WISH, GARI LA FAMILIA. ZINAZOBAKI NITAFANYIA HIVI NA VILE.

UKISHINDWA KULIPA BANK, INATANGAZA MNADA.HAPA NDIPO MCHEZO WOTE UPO. KWENYE KUNA TIMU YA WATU 8-10. TUNAJIPANGA KABISA. BEI YA HII ISIZIDI 150M. HIVYO KAMA NYUMBA INA THAMANI YA 400MILION, UNAPEWA MKOPO WA 300MILION. UKISHINDWA INAKUJA KUUZWA KWA 80MILION HIVI. KWAHIYO NI MTANDAO WA WAFANYAKAZI BANKI, WATOZA USHURU,MAHAKAMA(KUMBUKA KUNA MADALALI WA MAHAKAMA).

HIVYO JAMAA YEYE ANACHEZA MCHEZO HALALI.
Kwaio unakopa 14m ? Kwa kutumia nyumba halafu kuna timu ya watu inajipanga isizidi 150m ...wakati thamanj ya nyumba ni 300m hapo sijaelewa mkuu fafanua vizuri...?
 
LDA..nilikwambia vitu kwenye ule uzi wako wa ghorofa kariakoo

Unajua Primi ni Jamaa yangu..naeza mtafuta akaniambia ukweli na ukaaibika hapa jukwaani?

Acheni kukopa wachaga...na hamrudishi hela....
 
Wakati mnakopa hamkuja humu kututangazia kuwa mmekopa wanna jf
Leo mnashundwa kulipa mnataka ss tuwasaidie

Kuna watu humu kula yao n ya tabu wanaposikia mmekopa mabilion na kushindwa kulipa wanawashangaa

Mtu hawezi kuchukua mali ya mtu bila sababu ya msingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
Ni ushamba tuu...kadhulumu sana na ile bureau de change yake ya mchongo pale kkoo...kuna mwamba alimtolea machine na fedha zake zikarudi...Mzee wa Rising star...
 
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
Mmh kimbori hyu hyu...ile bureau de change yake iliwaliza wengi...afu kisheria humpeleki popote...
 
Ni ushamba tuu...kadhulumu sana na ile bureau de change yake ya mchongo pale kkoo...kuna mwamba alimtolea machine na fedha zake zikarudi...Mzee wa Rising star...
Unamsemea Msele yule white sio, kwenye harakati za utafutaji kuna ups and down man so Kimbori hawezi kufail totally, Tembo hawezi kukonda akawa kama mbuzi never
 
Mmh kimbori hyu hyu...ile bureau de change yake iliwaliza wengi...afu kisheria humpeleki popote...
Bureau de change kazi ipo wazi wewe unaambiwa deposit upate interest wap na wap..
 
Back
Top Bottom