Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

Mbona jamaa wamekabidhiana kiungwana tu? Maana nilikuwa nilipie frem mpya ya wife pale Mugabe last two week mtu tukawa tunasubir atoke
Mwenye nyumba wa zaman akawa amepokea hela ya udalali ila lst week akatukabidhi kwa huyo Mushi kuwa ndo owner mpya na tukasain mkataba na mushi na kumlipa kodi huku hela ya udalali akichukua owner wa zaman
Tena wanaongea vzr tu ndg
mkuu fremu ipi iyo kwasababu fremu iliyoka waz ni moja tu apale na ndio inapigwa rangi
 
Hapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,

Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?

Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..

Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
mwenye mkomilo royal hotel ni mwingine mkuu huyu yuko ana yard ya magari karibu na lion hotel sinza
 
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
kimbori hana tatizo mkuu tatizo k/koo ni mushi na massawe tumbo na morio pamoja na kuringe kimbori juzi juzi kauza gorofa yake manyema billion saba kwa mkinga kaenda mwanza kanunuanymba kama kumi ktk ya mji
 
wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
We eleza mkasa wenyewe habari ya g7 achana nayo. Hakuna raia 1 ktk nchi mwenye nguvu kuliko serikali hilo halipo.
 
Hahahaaa uzi ule mwingine umeukimbia. Acheni kukopa kopa pesa bila Kurejesha zao
 
Loo kimboli kadhulumu sana watu ...Almanusura wamuue...naishia hapa...ila primi sizan...Tumbo Tumbo ni mafia zaid...yule jamaa akiona mauza uza Tz anakimbilia Congo na kule ana ussue zake za madini..kuna kipindi TRA walimletea noma ya pesa mingi kuwa anazikwepa...hakuamin caz alisikia kama tetes gafla na barua ikatua ofisin kwake...akachukua konyagi kubwa akagugua alivyo imaliza huyoo...congo.. ila hawa jamaa wanaishi kwa stress kubwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah sasa akikimbia mali zake TRA hawawezi kuzikamata?
 
Kiongozi ungekua umekaaa kkooo ndo ungejua watu wanavyo fanyiwa umafia kwenye hizi nyumba wala usingeshangaa ukisikia nyumba ile imeuzwa kitapeli tapeli tu ...hawa matajili ni watu hovyo sana .Kuna nyumba moja ya mshikaji wangu kuna mkinga aliwachezea kwa uchawi yaan kila siku matatizo hayaishi mala huyu anaumwa figo mala huyu kafa harafu jamaa ndo mpangaji anaeonesha kuwajali ile mbaya na kuwakopesha hela mpaka wanakuja kushtuka anawadai km milioni mia hamsin na akawa km mbogo anaitaka ahame na wale hawana...ni story ndefu Mungu tu alisaidia hawakudhulumiwa.
Sasa hapo kama kweli walipokuwa na shida mpangaji wao alikuwa anawasaidia fedha, ulitaka pesa zake asizidai? Mfano kuna kipindi huko Turiani niliwahi kukodisha shamba ekari 10 @ ekari 50,000/= kwa msimu. Mwenye eneo anamiliki karibia ekari 50,nyingine ni mapori. Hii pesa ya kukodi huwa tunalipa kwa awamu mbili, mimi wakati mwingine nikawa namlipa yote laki tano ili kuepuka usumbufu nikiwa sina pesa. Kuna kipindi ikawa mwenye shamba akipata tatizo anaomba nimuazime pesa, kuna kipindi ikafika milioni 2 na ikawa uwezo wa kunilipa haupo. Hivyo ilibidi tuelewane aniuzie shamba ninalolilima.
 
Inashangaza. Tena kifusi chake kilipelekwa sehemu fulani. Nikahoji kimetoka wapi, nikaambiwa kimetoka Mugabe.

Huyu Mushi ndiye mwenye makontena ya kuivisha ndizi siyo?
Anaziiivishaje mkuu?
 
Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani

Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.

Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.
Kariakoo ana magorofa zaidi ya 20
 
Wewe utakuwa na shida zako binafsi na Primi Mushi
 
Wewe ni bipolar??
Mkuu unaamini kabisa mtu anaweza kukuloga ukamuuzia nyumba?

Waafrika bhana mnapenda hadithi za abunuasi Sana.
Ni Sawa na Mtu anayeamini kwenye kuomba Mungu zaidi ya kufanya kazi na kutumia Akili.

Ila ni kawaida Watu wazembe na wavivu wa kufikiri kuamini mambo ya Uchawi na miujiza
 
Anaziiivishaje mkuu?
Zinakatwa vichane, zinaoshwa, wadazipanga kwenye tenga (kama zile za nyanya), zinapangwa ndani ya cooling contena (contena la umeme)

Siku ya kwanza zinapigwa baridi. Siku ya pili zinapigwa joto. Siku ya tatu baridi halafu siku ya nne joto.

Siku ya tano zinakuwa tayari zimeiva na kuanza kusambazwa.

Contena moja linakaa box 600. Kwa bei ya jumla sokoni sasa hivi box moja ni kati ya elfu 28 hadi 30.

Hii mbinu inatumika badala ya ile ya zamani ya kuchimbia chini.
 
Wazawa wa Dar-es-Salaam wanaishi kama digidigi wanakopa wanaweka bond Ardhi na Nyumba wanaenda kununua vigari vidogo-dogo na kucheza vigodoro Wachagga na Wakinga wamewakimbiza kwenu aibu acheni starehe za kijinga nyie wazaliwa wa Mzizima.
 
Back
Top Bottom