kichakaa man
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 5,500
- 5,164
Andika maelezo vizur tukuelewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,No, ni opposite na kwakina Mansu li
Mkuu, imagine haya mambo umeyaandika wewe...Hapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,
Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?
Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani
Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.
Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.
Taarifa za upande mmoja pekee haIwezi kuthibitisha usahihi wa mtoa taarifa.Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia pesa zake ni baada ya kuita na kubandika kibao kwenye gorofa la /Koo kuwa Mkomilo tower nahisi ni kijiji anachotoka huko Kibosho huku akitaka kuanza ujenzi kwenye kiwanja cha Kipata na Myamwezi ujenzi wa gorofa huku kesi ikiwa mahakamani
Walalamikaji hawana la kumfanya hapo hapo Mugabe kama unaenda mawasiliano kwenye mataa kona upande wa kushoto ukitokea Shekilango anajenga gorofa tatu kwenda juu kuna uzio wa mabati.
Je, huyu jamaa ameshindikana kabisa? Tunaomba Serikali kuingilia kati kuepusha Serikali kuchafuka.
Loo kimboli kadhulumu sana watu ...Almanusura wamuue...naishia hapa...ila primi sizan...Tumbo Tumbo ni mafia zaid...yule jamaa akiona mauza uza Tz anakimbilia Congo na kule ana ussue zake za madini..kuna kipindi TRA walimletea noma ya pesa mingi kuwa anazikwepa...hakuamin caz alisikia kama tetes gafla na barua ikatua ofisin kwake...akachukua konyagi kubwa akagugua alivyo imaliza huyoo...congo.. ila hawa jamaa wanaishi kwa stress kubwa sanaHapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,
Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?
Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Mbaya zaidi wabara wana hela na mitaji ya nguvu na wanatamaa kali na ardhi.”Wabara” kama wanavyowaita wenyewe "Wanadarisalama” wanawakimbiza wenye mji wao.
Mtalia lia mwisho mjikute mpo Kilwa wengine Mkata maana kote mlikozembea kuendeleza wabara wanakutamani.
Mkuu Mohamed Said je haya ni ya kweli?”Wabara” kama wanavyowaita wenyewe "Wanadarisalama” wanawakimbiza wenye mji wao.
Mtalia lia mwisho mjikute mpo Kilwa wengine Mkata maana kote mlikozembea kuendeleza wabara wanakutamani.
Sio kweli mi ni memba yote unayoongea ni uongo. Nakushaur tu kama we ndio bingwa cku nyingine ukichukua mkopo benki jitahdi kuwa na nidhamu ya hela na sio kujaza bia bar.wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
NimechekaMkuu Mohamed Said je haya ni ya kweli?
Kiongozi ungekua umekaaa kkooo ndo ungejua watu wanavyo fanyiwa umafia kwenye hizi nyumba wala usingeshangaa ukisikia nyumba ile imeuzwa kitapeli tapeli tu ...hawa matajili ni watu hovyo sana .Kuna nyumba moja ya mshikaji wangu kuna mkinga aliwachezea kwa uchawi yaan kila siku matatizo hayaishi mala huyu anaumwa figo mala huyu kafa harafu jamaa ndo mpangaji anaeonesha kuwajali ile mbaya na kuwakopesha hela mpaka wanakuja kushtuka anawadai km milioni mia hamsin na akawa km mbogo anaitaka ahame na wale hawana...ni story ndefu Mungu tu alisaidia hawakudhulumiwa.Mkuu, imagine haya mambo umeyaandika wewe...
1. Hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima.
Ananunuaje nyumba "kwa lazima" ?
2. Pia anatafuta familia isiyo na msimamo "anawaloga" na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Yaani unarogwa hadi unauza nyumba ?
Kwahiyo waliomuuzia nyumba ndio walikwambia kwamba wamerogwa ndipo wakauza hizo nyumba ?
Au ni wewe tu mwenyewe ndio uligundua kwamba hawa jamaa wamwerogwa ndio maana wameuza nyumba ? Kama hivi ndivyo (uligundua mwenyewe), wewe ulijuaje (how) ?
Mengineyo:
A. Hakuna ubaya wala hakuna kosa lolote "kuwarubuni" watu wazima na wenye akili timamu (kwa vipesa vidogo vidogo au kwa namna yoyote ile) na wakakubali kukuuzia nyumba (as long as wamekuuzia, hukuwapora wala kuwanyang'anya).
B. Hakuna ubaya wala kosa lolote Kununua kila nyumba inayouzwa Sinza (au sehemu nyingine yoyote).
Wacha awaamisheHapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,
Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?
Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Inashangaza. Tena kifusi chake kilipelekwa sehemu fulani. Nikahoji kimetoka wapi, nikaambiwa kimetoka Mugabe.Jamani jamani Mbona pale pamebomolewa muda tu
Wameanza kujenga ndo nongwa zimeanza?!
Prima mwenyewe maisha yanamwendea hajui hata Kama kuna mtu anamuonea kijicho [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dawa ya deni ni kulipa.Kiongozi ungekua umekaaa kkooo ndo ungejua watu wanavyo fanyiwa umafia kwenye hizi nyumba wala usingeshangaa ukisikia nyumba ile imeuzwa kitapeli tapeli tu ...hawa matajili ni watu hovyo sana .Kuna nyumba moja ya mshikaji wangu kuna mkinga aliwachezea kwa uchawi yaan kila siku matatizo hayaishi mala huyu anaumwa figo mala huyu kafa harafu jamaa ndo mpangaji anaeonesha kuwajali ile mbaya na kuwakopesha hela mpaka wanakuja kushtuka anawadai km milioni mia hamsin na akawa km mbogo anaitaka ahame na wale hawana...ni story ndefu Mungu tu alisaidia hawakudhulumiwa.
Ni kinyume cha sheria kulazimisha makubaliano. Kama wahusika wamelazimishwa wangeenda polisi. Sasa huku JF hapatoshiHapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,
Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?
Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Hapo kwenye chocholo la kwenda kanisani? Kwa Yule mshikaji zamani alikuwa dereva wa tax kijiweni? Ana chonga chonga sanaaaa..? Kama Ni huyo nilisoma naye mugabe miaka ya tisini huko,
Huyo jamaa prima ndio mwenye hotel mkomilo karibu na vatcan city..?
Kama Ni huyo jamaa wameingia chaka bovu jamaa Ni mafia, hapo sinza kila nyumba inayouzwa anataka kununua yeye kwa lazima,pia anatafuta familia isiyo na msimamo anawaloga na kuwalubuni na viela vidogo dogo mpaka wanauza..
Mwingine Kuna mchaga mmoja anaitwa KIMBOLI hapo sinza, jamaa naye ana vitabia Kama ya uyu mwamba ,sinza kijiweni karibu na deluxe hotel kaamisha mtaa mzima kiajabu ajabu
Mbona jamaa wamekabidhiana kiungwana tu? Maana nilikuwa nilipie frem mpya ya wife pale Mugabe last two week mtu tukawa tunasubir atoke
Mwenye nyumba wa zaman akawa amepokea hela ya udalali ila lst week akatukabidhi kwa huyo Mushi kuwa ndo owner mpya na tukasain mkataba na mushi na kumlipa kodi huku hela ya udalali akichukua owner wa zaman
Tena wanaongea vzr tu ndg
Kiongozi ungekua umekaaa kkooo ndo ungejua watu wanavyo fanyiwa umafia kwenye hizi nyumba wala usingeshangaa ukisikia nyumba ile imeuzwa kitapeli tapeli tu ...hawa matajili ni watu hovyo sana .Kuna nyumba moja ya mshikaji wangu kuna mkinga aliwachezea kwa uchawi yaan kila siku matatizo hayaishi mala huyu anaumwa figo mala huyu kafa harafu jamaa ndo mpangaji anaeonesha kuwajali ile mbaya na kuwakopesha hela mpaka wanakuja kushtuka anawadai km milioni mia hamsin na akawa km mbogo anaitaka ahame na wale hawana...ni story ndefu Mungu tu alisaidia hawakudhulumiwa.