Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

Ni benki zipi hizo mkuu?
 
Mkuu umesema sahihi kabisa.
Wakopaji wengi wako tayari kuongopa kuonyesha biashara ambayo siyo yake, anaongopa.
Hata afisa akienda kumfanyia assesment ni ngumu kugundua huo uongo.
Wanadhani kuwa na nyumba ndo kigezo cha kupata mkopo, matokeo yake wanafoji biashara n.k ili apate mkopo.
Akishachukuwa mkopo anafanyia matumizi yake na kiasi kidogo kinachobaki anaanzisha biashara uchwara.
Matokeo yake anashindwa kufanya marejesho.
Matokeo yake dhamana yake inauzwa.
Kesi mahakamani anaanza kujitetea ooo sina uwezo wa kulipa, biashara imekufa sijui mie mjane nina watoto wadogo, niliuguwa mwaka mzima.
All in all wakopaji ni muhimu sana muwe wakweli mwanzoni wa mchakato wa mkopo ili ukope kiwango unachoweza kulipa.
Unakuta mtu ameleta maombi ya mkopo million 5 unapoanza kumfanyia mchakato tu anasema ooo huwezi niongozee million 2 ziwe saba.
Unabaki unaona huyu mtu hayuko serious.
Na kwa uchumi wa sasa nyumba nyingi dhamana nyingi zitauzwa na kwa bei chee tu.
 
We hujui dunia ,kaa kimnya dogo
 
Tatizo anadhulumu wajane na mayatima kwa kuwapa pesa mbuzi kutokana na shida zao, Kama ana ela si awape mpunga mrefu, au akaanzishe mji wake huko
 
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
 
wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
Sema una ka wivu flani hivi!!
 
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
[emoji23][emoji23][emoji23] Tutakuja kuwapangisha kwenye nyumba walizojenga wenyewe
 
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
 
Kwaio unakopa 14m ? Kwa kutumia nyumba halafu kuna timu ya watu inajipanga isizidi 150m ...wakati thamanj ya nyumba ni 300m hapo sijaelewa mkuu fafanua vizuri...?
 
LDA..nilikwambia vitu kwenye ule uzi wako wa ghorofa kariakoo

Unajua Primi ni Jamaa yangu..naeza mtafuta akaniambia ukweli na ukaaibika hapa jukwaani?

Acheni kukopa wachaga...na hamrudishi hela....
 
Wakati mnakopa hamkuja humu kututangazia kuwa mmekopa wanna jf
Leo mnashundwa kulipa mnataka ss tuwasaidie

Kuna watu humu kula yao n ya tabu wanaposikia mmekopa mabilion na kushindwa kulipa wanawashangaa

Mtu hawezi kuchukua mali ya mtu bila sababu ya msingi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Unaandika kizaramo sio Kimboli ni Kimbori, mjini unatakiwa kukaa kijanja la sivyo utauzwa bila kujijua huku unajitapa born here here
Ni ushamba tuu...kadhulumu sana na ile bureau de change yake ya mchongo pale kkoo...kuna mwamba alimtolea machine na fedha zake zikarudi...Mzee wa Rising star...
 
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
Mmh kimbori hyu hyu...ile bureau de change yake iliwaliza wengi...afu kisheria humpeleki popote...
 
Ni ushamba tuu...kadhulumu sana na ile bureau de change yake ya mchongo pale kkoo...kuna mwamba alimtolea machine na fedha zake zikarudi...Mzee wa Rising star...
Unamsemea Msele yule white sio, kwenye harakati za utafutaji kuna ups and down man so Kimbori hawezi kufail totally, Tembo hawezi kukonda akawa kama mbuzi never
 
Mmh kimbori hyu hyu...ile bureau de change yake iliwaliza wengi...afu kisheria humpeleki popote...
Bureau de change kazi ipo wazi wewe unaambiwa deposit upate interest wap na wap..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…