Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

mkuu fremu ipi iyo kwasababu fremu iliyoka waz ni moja tu apale na ndio inapigwa rangi
 
mwenye mkomilo royal hotel ni mwingine mkuu huyu yuko ana yard ya magari karibu na lion hotel sinza
 
Lipeni deni lote kwa mujibu wa makubakiano muone kama mali zeny zote hazijarudishwa.
 
Mbona kimboli ni mtu poa sana alafu kimboli anafika bei nyumba alafu anakupa na ofa ya kukujengea nyumba kali ya kuishi
kimbori hana tatizo mkuu tatizo k/koo ni mushi na massawe tumbo na morio pamoja na kuringe kimbori juzi juzi kauza gorofa yake manyema billion saba kwa mkinga kaenda mwanza kanunuanymba kama kumi ktk ya mji
 
wewe unawajua g7 mkuu kundi la wachagga wafanyabiashara wakubwa k/koo ndio wanampa kiburi mkuu hawa jamaa wameanza kama cha kusaidiana lilkn sasa ili uingie ada ni million zaidi ya hamsini wanalinda san mkuu kupeana diliza
We eleza mkasa wenyewe habari ya g7 achana nayo. Hakuna raia 1 ktk nchi mwenye nguvu kuliko serikali hilo halipo.
 
Lipeni deni lote kwa mujibu wa makubakiano muone kama mali zeny zote hazijarudishwa.
leo tumeweza kuzuia mushi kuanza ujenzi kwenye kiwanja chake cha kipaat na nyamwezi ndio kaz imeanza hivyo
 
Hahahaaa uzi ule mwingine umeukimbia. Acheni kukopa kopa pesa bila Kurejesha zao
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Daaah sasa akikimbia mali zake TRA hawawezi kuzikamata?
 
Sasa hapo kama kweli walipokuwa na shida mpangaji wao alikuwa anawasaidia fedha, ulitaka pesa zake asizidai? Mfano kuna kipindi huko Turiani niliwahi kukodisha shamba ekari 10 @ ekari 50,000/= kwa msimu. Mwenye eneo anamiliki karibia ekari 50,nyingine ni mapori. Hii pesa ya kukodi huwa tunalipa kwa awamu mbili, mimi wakati mwingine nikawa namlipa yote laki tano ili kuepuka usumbufu nikiwa sina pesa. Kuna kipindi ikawa mwenye shamba akipata tatizo anaomba nimuazime pesa, kuna kipindi ikafika milioni 2 na ikawa uwezo wa kunilipa haupo. Hivyo ilibidi tuelewane aniuzie shamba ninalolilima.
 
Inashangaza. Tena kifusi chake kilipelekwa sehemu fulani. Nikahoji kimetoka wapi, nikaambiwa kimetoka Mugabe.

Huyu Mushi ndiye mwenye makontena ya kuivisha ndizi siyo?
Anaziiivishaje mkuu?
 
Kariakoo ana magorofa zaidi ya 20
 
Wewe utakuwa na shida zako binafsi na Primi Mushi
 
Wewe ni bipolar??
 
Anaziiivishaje mkuu?
Zinakatwa vichane, zinaoshwa, wadazipanga kwenye tenga (kama zile za nyanya), zinapangwa ndani ya cooling contena (contena la umeme)

Siku ya kwanza zinapigwa baridi. Siku ya pili zinapigwa joto. Siku ya tatu baridi halafu siku ya nne joto.

Siku ya tano zinakuwa tayari zimeiva na kuanza kusambazwa.

Contena moja linakaa box 600. Kwa bei ya jumla sokoni sasa hivi box moja ni kati ya elfu 28 hadi 30.

Hii mbinu inatumika badala ya ile ya zamani ya kuchimbia chini.
 
Wazawa wa Dar-es-Salaam wanaishi kama digidigi wanakopa wanaweka bond Ardhi na Nyumba wanaenda kununua vigari vidogo-dogo na kucheza vigodoro Wachagga na Wakinga wamewakimbiza kwenu aibu acheni starehe za kijinga nyie wazaliwa wa Mzizima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…