Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

1. Wakati wa Sadam Hussein huyu mfalme wa Saudia alikua madarakani?
2. Unaijua vizuri historia ya Sadamu Hussein? Nenda kafungue vitabu then utajua nani alimuweka madarakani?
Kujua vitu nusu nusu ni sawa na kujaribu kulambisha watu SUMU
Kuna sehemu nisema alikuwepo? Walikuwepo wazee wake. Acha kusoma vitu nusu nusu
 
Mwana hataki fujo nchini kwake,ingawa wapo watakao ichukulia kauli yake kwa angle tofauti.
 
Mkuu yanayotokea kwa binadamu wenzetu wenye ndoto na matarajio kama yetu,wenye familia na wenye kuhitaji kuishi kama sisi omba yasikukute..
Sijakuelewa! Kwa hiyo unaweza ku sympathize pamoja na Hezbollah kifo cha yule jamaa?
 
Ni sawa tu yetu macho na masikio kuona na kusikia.
Miaka ijayo Imani za Dini zitakuwa history.
Uhusiano wa huo mtazamo na kauri ya sheikh wa Saudia ukoje? Kwamba Msaudia kumkatalia Palestinian ndio dini zitapotea? Don't think so. Yapo maandiko kwenye Quran yanayo onesha mmuliki halali wa ile ardhi wanayo pigania Palestinian and Israelites
 
Kuna siku hizo sentences zitamkosti.
Dunia iliyostarahabika na Nchi yake ambayo wenye Imani nadhifu ya Dini inayokataza mabaya anageuka kuwa ya wengine hayamuhusu.....
Hija zijazo yanaweza kujitokeza yaliyojificha yatakayo ushangaza ulimwengu kama yale ya P kiasi ya watu kuacha kwenda kuhiji...
Kuna wakati busara inaelekeza kukaa kimya hasa pale jibu litokalo kinywani laweza kuwa chukizo kwa wengine.
Nani aache kuhiji akose bikira 72 ivi wewe unadhan firidaus ni mchezo mchezo
 
Back
Top Bottom