digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Kwa mujibu wa maandiko Yao lazima uwe muislamu na uwe unaua wenzako unaoamini si wa Imani Yako na hata wa Imani Yako unaotofautiana nao.Hivi ukitaka short kati yakupata hao mabikira 72 unafanyaje? Au lazima niwe muislamu halafu niwe gaidi?
Kuna sehemu nisema alikuwepo? Walikuwepo wazee wake. Acha kusoma vitu nusu nusu1. Wakati wa Sadam Hussein huyu mfalme wa Saudia alikua madarakani?
2. Unaijua vizuri historia ya Sadamu Hussein? Nenda kafungue vitabu then utajua nani alimuweka madarakani?
Kujua vitu nusu nusu ni sawa na kujaribu kulambisha watu SUMU
😂😂🤪🤪🤪🤪🤪😏🤪🤪🤪🏃🏃Halafu jitu jingine jeusi tiiii kutoka liwale linakosa usingizi sababu ya Hamas na Hezbollah. Jinga kabsa
Daaah! It's almost impossible to me. Basi bhana ngoja nitafute bikira tu huku mtaani kwetuKwa mujibu wa maandiko Yao lazima uwe muislamu na uwe unaua wenzako unaoamini si wa Imani Yako na hata wa Imani Yako unaotofautiana nao.
Jamaa yake kivipi sasa? Palestine, Syria, Iran and Jordan kwa asili hawa sio Waarabu; wanaungwa na uarabu tu kwasababu ya Uislam. Kina Saudia ndio pure Arabs.Kenge tu huyo. yaani jamaa Yako anachezea kichapo we unasema haikuhusu!
Angekuwa hapa Tz ningemtafuta mke wake
AaahaaaaKobazi mwaka huu wenu , Israel mtoa roho kaamua kuwakutanisha na mabikra zenu mapema,kazi kwenu
Sijakuelewa! Kwa hiyo unaweza ku sympathize pamoja na Hezbollah kifo cha yule jamaa?Mkuu yanayotokea kwa binadamu wenzetu wenye ndoto na matarajio kama yetu,wenye familia na wenye kuhitaji kuishi kama sisi omba yasikukute..
Uhusiano wa huo mtazamo na kauri ya sheikh wa Saudia ukoje? Kwamba Msaudia kumkatalia Palestinian ndio dini zitapotea? Don't think so. Yapo maandiko kwenye Quran yanayo onesha mmuliki halali wa ile ardhi wanayo pigania Palestinian and IsraelitesNi sawa tu yetu macho na masikio kuona na kusikia.
Miaka ijayo Imani za Dini zitakuwa history.
Nani aache kuhiji akose bikira 72 ivi wewe unadhan firidaus ni mchezo mchezoKuna siku hizo sentences zitamkosti.
Dunia iliyostarahabika na Nchi yake ambayo wenye Imani nadhifu ya Dini inayokataza mabaya anageuka kuwa ya wengine hayamuhusu.....
Hija zijazo yanaweza kujitokeza yaliyojificha yatakayo ushangaza ulimwengu kama yale ya P kiasi ya watu kuacha kwenda kuhiji...
Kuna wakati busara inaelekeza kukaa kimya hasa pale jibu litokalo kinywani laweza kuwa chukizo kwa wengine.
Hao wote wamehongwa na mabeberu Ili kuitelekeza Palestine.Misri iliachana na upuuzi huo zamani sana ikifuatiwa na Jordan; baadaye ikawa hivyo kwa UAE, na sasa Saudi Arabia.
Wamekuwa hayo tenaWafalme wa Saudia kwa asili ni Mayahudi sasa unatarajia atatetea Waislamu wa Palestina!
Dunia ijayo 2100+ natumaini hatutakuwepo lolote lawezekana.Nani aache kuhiji akose bikira 72 ivi wewe unadhan firidaus ni mchezo mchezo
Ndivyo ilivyo siyo yamekuwaWamekuwa hayo tena