Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

hahaha watu waache kwenda kuhiji kisa kauli yake

nipo Zanzibar kila muislam ndoto yake ni kwenda kuhiji macca wanasema ni nusu ya dini yao sada sioni kama kuna jambo

linaenda kuwafanya wasiende uko πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kila jambo na nyakati zake,tuombe uzima lolote lawezekana chini ya Jua.
Hata ufalme was kale wa Nebuchadnezzar aliye waaminisha watu kuwa yeye ndiye Mungu leo umebaki History.
 
Yuko sawa wapambane na hali zaoo haiwezekan kenya na uganda wapigane sisi Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ tuingilie vinatuhusu nn
 
Kuna wabongo wanajikuta wana utu na wafia dini kuliko prince
Tunawaambia msilete udini hawaelew
 
Kwenda kuhiji ni upuuzi na kupoteza mda tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…