Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu

Noma sana
 
Mungu amewatuma muwaingize wapalestina kwenye vita kisa kung'ang'ania mateka? Hv wajibu wa Hamas ni kulinda ustawi wa wapalestina au kutunza mateka ?
 
Mkuu yanayotokea kwa binadamu wenzetu wenye ndoto na matarajio kama yetu,wenye familia na wenye kuhitaji kuishi kama sisi omba yasikukute..
Huu migogoro ulikuwa unaisha Kwa kuachia mateka ila walijitapa kuwa idf iingie Gaza hawaogop , Leo Mnataka huo ujinga wehu uwacost wengine?
 
Mkuu yanayotokea kwa binadamu wenzetu wenye ndoto na matarajio kama yetu,wenye familia na wenye kuhitaji kuishi kama sisi omba yasikukute..
Huu migogoro ulikuwa unaisha Kwa kuachia mateka ila walijitapa kuwa idf iingie Gaza hawaogop , Leo Mnataka huo ujinga wehu uwacost wengine?
 
Kila jambo na nyakati zake,tuombe uzima lolote lawezekana chini ya Jua.
Hata ufalme was kale wa Nebuchadnezzar aliye waaminisha watu kuwa yeye ndiye Mungu leo umebaki History.
Hamas wataish milele?
 
Sawa hayamuhusu sa yanini anayaongelea kuna mtu alimuomba awasaidie 😄
 
Safi uanzishe ugomvi halafu usubiri wengine wakusaidie si upuuzi Siyo Saudia tu ukiacha Iran waliotengeneza makundi ya kigaidi yapambane na Israel nchi nyingine za kiarabu zipo kimya, Tena kama Misri anapakana na Gaza ila hatoi msaada wowote, huwezi kuwaingiza watu vitani kindezindezi hivyo
 
HUYU PRINCE TUMTEENGENEZEE SANAMU GAZA ANAJUA KUSOMA NYAKATI
 
FaizaFoxy anadai watawala wa Saudia ni Mayahudi.
Ni " Crypto Jews " ,sijui kama unaelewa historia na hili neno
Ungeelewa alichomaanisha , kuna serikali zinaongozwa na vibaraka waliopachikwa ili kulinda maslahi ya wazayuni na Marekani hapo middle east na Saudi Family ni moja wapo , wale si waarabu wa asili ni mamluki waliopachikwa hapo kwa maslahi ya west alliance na makampuni yao ya mafuta , Jordan pia ni similar situation , vibaraka wasio na asili ya uarabu ila wanajiita wafalme wa kiarabu na wanatawala kwa mkono wa chuma na kulindwa na majeshi ya nchi za magharibi ili kuzima upinzani wa raia maana wanajijua hawakubaliki kwa raia na ni mamluki
 
Halafu hiyo Saudi ndio wenye dini, haya mazombi mengine yamedandia tu.
Acha upumbavu Nani kakwambia Saudia Ndio mmiliki wa dini ya kiislamu wewe mpuuzi ?
Mimi sio muislamu ila ninyi wapumbavu mnakera sana na mnaandika upuuzi humu kwa vitu msivyovijua ,
Unajua kuna madhehebu mangapi ya kiislamu we zoba ?
Ni sawa na leo hii useme Vatican Ndio mmiliki wa ukristo ,
Hao Anglicans , Lutheran,Moravians ,Pespeterians,Baptists ,Pentecoste , Orthodox ,Coptics ,seventh day Adventists ,Mormons nk na Christian denominations nyingine nyingi asili ni mali ya Vatican ? , how stupid are you ?
Fools
 
Huyu ndiye mwanamfalme mwenye akili zaidi anayepatikana katika nchi za kiarabu. Hakuna kuwatetea magaidi.
Kweli anaakili. Lkn hajui kwamba makafiri wanahamu wainyakue Saudia.
 
Hivi ukitaka short kati yakupata hao mabikira 72 unafanyaje? Au lazima niwe muislamu halafu niwe gaidi?
Mbona Yesu pia,hawa magaidi wa Israel walimsulubu na kumuua,na yeye yuko huko mbinguni,,mkono wa kuume wa Mungu,na anahukumu makabila 12,ya Israel,hapo si anajichagulia tu,anayemfaa katika hayo makabila 12.
 
Huu upuuzi wa kuponda dini na imani za watu ,ni ushenzi na ukosefu wa akili na maadili + busara .....


Mimi ni mkristo ila kuna wakristo feki humu wanaojiona wamekunywa maji ya msalaba kuliko wengine , mna guts za kutukana dini ya kiislamu kisa ushabiki wa hao mashoga zenu mnaowaabudu huko kwenye makanisa feki yenu kwa ujinga wenu wa kutoijua injili na Bible kiundani .
Wapumbavu wakubwa ,grow up !
 
Kwa mujibu wa maandiko Yao lazima uwe muislamu na uwe unaua wenzako unaoamini si wa Imani Yako na hata wa Imani Yako unaotofautiana nao.
Kwa hoyo wataka kutuambia Yesu,aliuliwa ili na yeye akakaye mkono wa kuune wa Mungu ,ili ahukumu makabila 12 ya waisrael,?
 
Umemaliza mjadala,kwanza Tanzania,utakuta familia moja,wapo wakristo na wapo waislamu,nimeshahudhuria shughuli nyingi tofauti,nikakuta mchanganyiko wa kifamilia wakristo na waislamu.
 
Nchi imejengeka vzr kama Saudia na Qatar then unataka wakubali mambo ya vita? Mm mwnyw nngewakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…