Aisee sasa we umetoa siri,tumejua yuko wapi.hongera sn salman ww ni akiliz kubwaz.....ayatola anaishi kwa mahandaki kama panya buku huku akisubiri zawadi toka kwa nyahuu
View attachment 3129237
Unazungumzia article ya January ilivyoandikwa na gazeti la Atlantic la Marekani ambayo pia ilisema hakuna uhusiano na Israel bila suluhisho la Taifa la Palastine ( kama source yako ni hiyo unatudangaya)Saudi Arabia gave a big shock to Muslims!
Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman has made a big statement against Palestine!
"I don't care about the Palestinian issues; I don't care about Palestine."
Mecca and Medina are not a place for politics, we will not allow any activity in support of Palestine here.
We have completely banned putting up any posters or offering prayers in support of Palestine.
PIA SOMA
- Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu
HatakAmeogopa moto wa mazatuni.
Cc
Faiza fox, the big show.
Kaona Moto uliowaka Lebanon, Syria, Yemen hivyo ni heri atengeneze uchumi wake. Vita sio kabisa watu wanapata shida.Ameogopa moto wa mazatuni.
Cc
Faiza fox, the big show.
leteni uthibishoNisamehe ndugu yangu basi ngoja niseme jitu kutoka kahama
Wambie waereweHuko ndiyo kuishiwa. Lugha za kishoga zinajulikana tu.
Ndiyo ujiulize wewe, Mariamu kwani wapo wangapi, au wewe unawajuwa mama za Yesu wangapi?
Salman mjasiriamali. Kaangalia ishu kwa jicho la hela zinazoingia Kila mwaka kaona isije kupigwa Bomu na IsraelSaudi Arabia gave a big shock to Muslims!
Saudi Arabia's Crown Prince Mohammed bin Salman has made a big statement against Palestine!
"I don't care about the Palestinian issues; I don't care about Palestine."
Mecca and Medina are not a place for politics, we will not allow any activity in support of Palestine here.
We have completely banned putting up any posters or offering prayers in support of Palestine.
PIA SOMA
- Prince wa Saudi Arabia Salman: Mambo ya Palestine hayanihusu. Najihusisha zaidi ya Nchi yangu
USA ni wanaharamu!
simtukane,yuko sahihi.Uislam umeletwa na Muhammad mwaka 610 A.D mwezi wa 12 tarehe 17.Muhammad anatoka kabila la maquresh,na ndio hao wanaoiongoza Saudia ya sasa.MBS anatoka kabila la maquresh hilohilo.Sasa ukristo umeanzia Vatican?Yesu alikuwa mrumi?Mji wa Rumi imekuwa Yerusalemu?Papa ni myahudi?Anatoka kabila la Yuda?Mfano wako haufanani na hoja ya jamaa.Labda hata wewe hauufahamu ukristo.Na wewe unaamini ukristo umetokea ulaya.Acha upumbavu Nani kakwambia Saudia Ndio mmiliki wa dini ya kiislamu wewe mpuuzi ?
Mimi sio muislamu ila ninyi wapumbavu mnakera sana na mnaandika upuuzi humu kwa vitu msivyovijua ,
Unajua kuna madhehebu mangapi ya kiislamu we zoba ?
Ni sawa na leo hii useme Vatican Ndio mmiliki wa ukristo ,
Hao Anglicans , Lutheran,Moravians ,Pespeterians,Baptists ,Pentecoste , Orthodox ,Coptics ,seventh day Adventists ,Mormons nk na Christian denominations nyingine nyingi asili ni mali ya Vatican ? , how stupid are you ?
Fools
Kahawa za siku hizi, khaa. Kali kweli utadhani tangawizi😏😏😬Ni " Crypto Jews " ,sijui kama unaelewa historia na hili neno
Ungeelewa alichomaanisha , kuna serikali zinaongozwa na vibaraka waliopachikwa ili kulinda maslahi ya wazayuni na Marekani hapo middle east na Saudi Family ni moja wapo , wale si waarabu wa asili ni mamluki waliopachikwa hapo kwa maslahi ya west alliance na makampuni yao ya mafuta , Jordan pia ni similar situation , vibaraka wasio na asili ya uarabu ila wanajiita wafalme wa kiarabu na wanatawala kwa mkono wa chuma na kulindwa na majeshi ya nchi za magharibi ili kuzima upinzani wa raia maana wanajijua hawakubaliki kwa raia na ni mamluki
Hiyo sio big brain usipozuia mgogoro wa dhulma kuna siku utaamia kwakoBig brain, ameamua kufocus na ujenzi wa nchi sio watu waanzishe varangati wakilemewa wanataka na wengine wahusike
Bado hujasema na mtasemaWafalme wa Saudia kwa asili ni Mayahudi sasa unatarajia atatetea Waislamu wa Palestina!
Mwarabu anayechagua njia ya amani kuongoza nchi yake ataitwa Kafiri.
Kama Ukafiri ni amani bora ukafiri.