magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Ni katika kukumbushana.
Vita hivyo vilihusu kugombania ardhi ya mkoa wa
Kagera kati ya nchi ya Tanzania na Uganda.
Katika vita hivyo Tanzania, ikiongozwa na rais
Julius Nyerere iliibuka kidedea kwa kuwapiga7
vema majeshi ya gaidi Idd Amini Dadah
yaliyoungwa mkono wa Libya ya Muammar al-
Gaddafi na pia Palestina ya Yasser Arafat.
Vita hivyo viliua watu karibu 5,000 na wengine
kuachwa yatima .