Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

Msaada umeenda jinsia moja
 
Hii aliisemea wapi niitafute?? Inasemekana Jacky alkua rafiki wa madam, jaky akamwibia madam penzi lake
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] madam anazingua.
Ukute alienda kwenye hiyo gym purposely kwa ajili ya kumtega mzee wa watu..
Ila ndo hawezi kusema sasa....

wadada wa mujini wa late 90s to early 2000s hiyo ndio ilikuwa michongo yao.

wakisikia kuna international delegation imefikia kilimanjaro hotel,new afrika hotel au sheraton hotel(kama zilivyotambulika miaka ya zamani), na wao walikuwa wanajisogeza maeneo hayo kuweka kambi.

hizi ni hotel ambazo the elite class wa nchi waliovuma miaka hiyo, walikuwa wanapendelea kwenda kujipatia breakfast, lunch, dinner, coffee and drinks.

maeneo ambayo wadada wa mujini walikuwa wanajitegesha ni swimming pool za hotel, lounge/bar za hotel na eneo la hotel ambalo lina facility za mazoezi ya viungo(gym).

miaka ile kulikuwa hakuna social media, ili
ku-capture attention ya wazee kama akina mengi, ilikuwa ni lazima wadada wajigoze physically kwenye maeneo niliyotaja.
 
Mimi kama mwanaume siwezi leta Uzi km huu!!
Ila niseme tu mi niliwahi muhonga demu wangu chupi tu basi,hajanisahau hadi leo.
 
Watu wanapenda fedha kuliko jambo lingine. Kwahiyo huyo anayesema sijui Kiba ,aaaah wapi.
 
Aliwahonga ama aliwapa??!!!! Halafu si pesa zake, hajaua mtu, kuua ndio kosa

Mind your faken business
 
Kama bilionea mmoja wa kikenya marehemu sahivi, anaitwa Chris kirubi, alikuwa bahili hatari, alikuwa hahongi wadada kihivyo, mdada akihongwa sana ni laki 2 DeepPond
The late CK na alikuaga na mpunga sio mchezo.Nilichomkubali Ni kuona kwny mirathi yake amewaweka na dada na Kaka Yale.Hajaweka watoto wake tu.
 
Kwa huu mwandiko, sijui hiyo tender ya USA ulishindaje tu.
Weye endelea kusugua tu na Mbagala yako!! na wotewa huko hamnaga akili kabisaaa!! sijui Mbagala yoote na maji matitu kuna nini vile??..... Daktari anaandika yasiyoeleweka lkn bado mtu unapona!!..sembuse mie??

sasa kwa taarifa yako km hujui!! wenye mwandiko mbaya ndo wanatusuaga Drsani!! bila shaka weye ulikuwaga failure mbaya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…